Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Iran itatuma washiriki katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Saudi Arabia katika vitendo vya qiraa na hifdhi.
Habari ID: 3478833 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/16
Hija
IQNA - Kundi la kwanza la Wa iran i walioelekea Hija kutoka Iran waliwasili katika mji mtakatifu wa Madina Jumatatu Mei 13.
Habari ID: 3478816 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/13
Qari Mashuhuri wa Qur'ani Tukufu
IQNA – Qari mashuhuri wa Iran Karim Mansouri amepongeza amani ambayo Qur'ani Tukufu inaleta katika maisha ya wale wanaoongozwa nayo.
Habari ID: 3478794 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/09
Hija 2024
IQNA Afisa wa ngazi za juu wa Msafara wa Hija wa Iran amewataka Wa iran i wanaolekea katika ibada ya Hija mwaka huu kuzingatia zaidi Qur'ani Tukufu, masaibu yanayowakumba Waislamu wa Gaza na suala la umoja wa Waislamu wakiwa katika ibada ya Hija
Habari ID: 3478775 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/05
Harakati za Qur'ani
IQNA – Qari maarufu wa Iran na mwalimu wa Qur’ani Ustadh Ahmad Abolqassemi amehudhuria toleo la kwanza la maonyesho ya Qur’ani ya Kabul.
Habari ID: 3478769 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/04
Harakati za Qur'ani
IQNA - Maelfu ya wafungwa katika jela za Jamhuri ya Kiislamu Iran wamefaulu kuhifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu au juzuu kadhaa wakiwa wanatumikia vifungo vyao gerezani, mkuu wa Shirika la Magereza la Iran alisema.
Habari ID: 3478738 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/26
Diplomasia
IQNA-Raisi Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuna irada baina ya Iran na Afrika kuimarisha na kustawisha uhusiano wa kibiashara na kuongeza kuwa nchi za Afrika zinaweza kunufaika na teknolojia inayomilikiwa na Iran.
Habari ID: 3478736 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/26
Hija
IQNA - Zaidi ya Wa iran i 83,000 wataelekea Saudi Arabia kushiriki katika ibada ya Hija mwaka huu, afisa mmoja alisema.
Habari ID: 3478723 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/23
Ahadi ya Kweli
IQNA - Mchambuzi wa Lebanon ameorodhesha nukta nane kuhusu mashambulizi ya kulipiza kisasi wa Iran dhidi ya utawala haramu wa Israel ambayo yalikuja baada ya mashambulizi ya Israel kwenye ubalozi mdogo wa Iran nchini Syria.
Habari ID: 3478691 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/16
IQNA - Qari mashuhuri wa Iran Seyed Mohammad Hosseinipour hivi karibuni alisoma aya za Surah At-Taghabun katika Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3478690 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/16
Ahadi ya Kweli
IQNA - Msururu wa vikao vha kusoma Qur'ani Tukufu ambavyo vimepewa jina la "Ahadi ya Kweli" vinafanyika katika Haram Takatifu ya Imam Ridha (AS) huko Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran.
Habari ID: 3478689 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/16
Ahadi ya Kweli
IQNA-Mufti Mkuu wa wa Oman amekaribisha na kupongeza mashambulizi ya Iran dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3478687 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/16
Ahadi ya Kweli
IQNA-Balozi wa Iran katika Umoja wa Mataifa ameionya Marekani kuhusu kuanzisha hatua za kijeshi dhidi ya Iran baada ya operesheni yake ya kisheria ya hivi karibuni ya kulipiza kisasi dhidi ya utawala ghasibu wa Israel, mshirika mkuu wa kieneo wa Washington.
Habari ID: 3478686 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/15
Ahadi ya Kweli
IQNA-Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema iwapo utawala wa Kizayuni wa Israel utafanya harakati yoyote ya kifidhuli utakabiliwa na jibu madhubuti, zito na kali zaidi.
Habari ID: 3478685 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/14
Ahadi ya Kweli
IQNA- Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) limefanya mashambulizi makubwa ya kulipiza kisasi kwa kutumia makombora na ndege zisizo na rubani na makombora dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel likijibu mashambulizi ya kigaidi yaliyofanywa utawala wa Israel ya tarehe 1 Aprili dhidi ya majengo ya kidiplomasia ya Jamhuri ya Kiislamu katika mji mkuu wa Syria, Damascus.
Habari ID: 3478681 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/14
Jinai za Israel
IQNA-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kukatwa uhusiano wa kiuchumi na kisiasa wa nchi za Waislamu na utawala wa Kizayuni ndiyo silaha bora ya kukomesha jinai za Wazayuni huko Palestina.
Habari ID: 3478670 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/11
Salamu za Idul Fitr
IQNA-Rais wa Iran, Ebrahim Raisi, amesema ni wajibu wa kibinadamu na kidini kwa nchi za Kiislamu kukomesha mauaji ya kimbari ya miezi kadhaa ya utawala wa Israel dhidi ya Wapalestina huko Gaza.
Habari ID: 3478661 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/10
Mrengo wa Muqawam
IQNA- Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrallah amesema, haki ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ya kutoa jibu kwa uchokozi uliofanywa na utawala wa Kizayuni wa kushambulia ubalozi wake mdogo mjini Damascus ni haki yenye uhalali wa kisheria.
Habari ID: 3478656 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/09
Mahojiano
IQNA - Kamanda katika Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) amesema Jamhuri ya Kiislamu haitajihusisha na vita vya moja kwa moja na utawala haramu wa Israel na kwamba jibu la shambulio la Israel dhidi ya ubalozi mdogo wa Iran nchini Syria halitakuwa kwa makombora na ndege zisizo na rubani pekee.
Habari ID: 3478653 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/08
Siku ya Quds
IQNA-Mamillioni ya wananchi wa Iran wamejitokeza katika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds ambayo yamefanyika leo katika miji na maeneo mbalimbali nchini Iran.
Habari ID: 3478633 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/05