iran - Ukurasa 19

IQNA

Siasa
IQNA-Matokeo rasmi na ya mwisho ya duru ya 14 ya uchaguzi wa rais wa kabla ya wakati wa Iran yanaonesha kuwa zoezi hilo litaingia katika duru ya pili.
Habari ID: 3479031   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/29

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amewataka wananchi wa Iran kutosita hata kidogo kushiriki katika uchaguzi wa leo wa Rais.
Habari ID: 3479025   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/29

Uchaguzi wa Rais wa Iran
IQNA-Wananchi wa Iran waliotimiza masharti ya kupiga kura leo wanaelekea katika vituo vya kupigia kura ili kumchagua Rais mpya atakayemrithi Ebrahim Raisi aliyekufa shahidi katika ajali ya helikopta Mei 19 mwaka huu.
Habari ID: 3479024   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/28

Sikukuu ya Eid Ghadir Khum
Ayatullah Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu leo amekutana na kuzungumza na maelfu ya wananchi katika sherehe ya maadhimisho ya Sikukuu ya Eid Ghadir Khum.
Habari ID: 3479012   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/26

Diplomasia
IQNA-Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema hatua ya Canada (Kanada) ya kuliweka Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC ) kwenye orodha ya kile inachokiita "makundi ya kigaidi" ni zawadi kwa utawala wa Kizayuni wa Israel, magaidi na maadui wengine wa amani na uthabiti katika eneo la Asia Magharibi.
Habari ID: 3478994   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/21

Mashindano ya Qur’ani Tukufu
Mwakilishi wa Iran katika kategoria ya kuhifadhi ya mashindano ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu nchini Uturuki ana matumaini ya kufuzu kwa fainali.
Habari ID: 3478989   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/20

Kadhia ya Palestina
IQNA - Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ambayo yalipata ushindi mwaka 1979 yalikuwa ni utangulizi wa mwamko wa Wapalestina, amesema mwanazuoni wa Lebanon.
Habari ID: 3478955   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/09

IQNA - Shirika la Wakfu na Masuala Iran limeongeza muda wa mwisho wa kusajiliwa kwa Mashindano ya 47 ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu. Hamid Majidimehr, Mkuu wa Kituo cha Masuala ya Qur'ani cha shirika hilo, aliiambia IQNA siku ya Jumamosi kwamba makataa ya usajili yameongezwa kwa siku kumi hadi Juni 18.
Habari ID: 3478953   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/09

Diplomasia ya Qur'ani
IQNA - Sherehe za kufunga toleo la 10 la mashindano ya Qur'ani kati ya majeshi ya Iran na Oman zimefanyika huku washindi wakipokea tuzo zao.
Habari ID: 3478945   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/07

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mashindano ya Qur'ani kati ya majeshi ya Iran na Oman yanaendelea katika mji mkuu wa Oman, Muscat.
Habari ID: 3478937   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/05

Hija 1445
IQNA - Zaidi ya nusu ya Wairani wanaotarajiwa kuhiji mwaka huu wamewasili Saudi Arabia, afisa mmoja alisema.
Habari ID: 3478905   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/31

Diplomasia ya Kiislamu
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, muqawama ni utambulisho mzuri na bora wa Syria na akaeleza kwamba, nafasi maalumu iliyonayo Syria katika eneo ni kutokana na utambulisho huu na sifa hiyo muhimu inapaswa kuhifadhiwa.
Habari ID: 3478904   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/30

Hija 1435
IQNA - Balozi wa Iran nchini Saudi Arabia Ali Reza Enayati amefanya mazungumzo na Abdulaziz bin Saud bin Naif, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Saudi Arabia na mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Hajj.
Habari ID: 3478896   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/28

Rambirambi
IQNA-Viongozi wa dunia wameendelea kutuma salamu za rambi rambi kufuatia kufa shahidi katika ajali ya helikopta jana Seyyed Ebrahim Raisi, Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Amir Abdollahian, Waziri wa Mambo ya Nje, Hujjatul Islam wal Muslimin Al Hashem, mwakilishi wa Waliul Faqih katika Mkoa wa Azabajan Mashariki, Malik Rahmati, Gavana wa Azabajani Mashariki na wote waliokuwa katika msafaraha huo.
Habari ID: 3478855   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/20

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Iran itatuma washiriki katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Saudi Arabia katika vitendo vya qiraa na hifdhi.
Habari ID: 3478833   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/16

Hija
IQNA - Kundi la kwanza la Wairani walioelekea Hija kutoka Iran waliwasili katika mji mtakatifu wa Madina Jumatatu Mei 13.
Habari ID: 3478816   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/13

Qari Mashuhuri wa Qur'ani Tukufu
IQNA – Qari mashuhuri wa Iran Karim Mansouri amepongeza amani ambayo Qur'ani Tukufu inaleta katika maisha ya wale wanaoongozwa nayo.
Habari ID: 3478794   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/09

Hija 2024
IQNA Afisa wa ngazi za juu wa Msafara wa Hija wa Iran amewataka Wairani wanaolekea katika ibada ya Hija mwaka huu kuzingatia zaidi Qur'ani Tukufu, masaibu yanayowakumba Waislamu wa Gaza na suala la umoja wa Waislamu wakiwa katika ibada ya Hija
Habari ID: 3478775   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/05

Harakati za Qur'ani
IQNA – Qari maarufu wa Iran na mwalimu wa Qur’ani Ustadh Ahmad Abolqassemi amehudhuria toleo la kwanza la maonyesho ya Qur’ani ya Kabul.
Habari ID: 3478769   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/04

Harakati za Qur'ani
IQNA - Maelfu ya wafungwa katika jela za Jamhuri ya Kiislamu Iran wamefaulu kuhifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu au juzuu kadhaa wakiwa wanatumikia vifungo vyao gerezani, mkuu wa Shirika la Magereza la Iran alisema.
Habari ID: 3478738   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/26