TEHRAN (IQNA)-Wasimamizi wa Mashindano ya 38 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran wametangaza majini ya waliofika katika fainali ya mashindano hayo itakayofanyika mwezi ujao ambapo miongoni mwa waliofuzu ni wawakilishi wa Kenya na Uganda.
Habari ID: 3474877 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/01
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema, jihadi ya wajasiriamali na wafanyakazi wa viwandani katika ngome ya uzalishaji imeifanya Marekani ikiri kuwa imeshindwa katika vita vyake vya kiuchumi.
Habari ID: 3474870 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/30
TEHRAN (IQNA)- Maelfu ya wananchi katika miji mingi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wameshiriki katika maandamano ya kuunga mkono taifa linalodhulumiwa la Yemen na kulaani jinai zinazotendwa na muungano vamizi unaoongozwa na Saudia dhidi ya taifa hilo.
Habari ID: 3474861 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/28
TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema serikali yake inalenga kuwa na ushirikiano na dunia nzima lakini akaonya kuwa Iran itakabiliana na madola yanayotaka kukabiliana na nchi hii.
Habari ID: 3474855 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/26
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika kikao chake na Waziri wa Mambo ya Nje wa Togo kuwa: Suala la kuimarishwa uhusiano wa Iran na nchi za bara la Afrika litafuatiliwa kwa umakini na nguvu zaidi.
Habari ID: 3474846 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/24
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amewataka wasomaji wa tungo za mashairi ya kuwasifu Ahlul-Bayt (AS) kutumia nafasi waliyonayo kwa ajili ya kukabiliana na propaganda za vyombo vya habari dhidi ya taifa la Iran.
Habari ID: 3474843 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/23
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaandaa ramani ya njia ya ushirkiano na nchi zingine kwa kuzingatia maslahi yake ya taifa.
Habari ID: 3474832 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/21
TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu amesema mbele ya Waislamu wa Msikiti Mkuu wa Moscow, mji mkuu wa Russia kwamba, Misikiti ni nyumba za Mwenyezi Mungu ardhini na inamlea vizuri Muislamu na jamii yake.
Habari ID: 3474831 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/21
TEHRAN (IQNA)- Iran imetangaza kuwa tayari kuwatuma wananchi wake kuenda Saudi Arabia kutekeleza ibada ya Umrah iwapo masharti yatatimizwa.
Habari ID: 3474826 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/19
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa: Ushirikiano kati ya Iran na Russia unajenga amani na usalama na utazuia sera za kujichukulia maamuzi ya upande mmoja katika kanda hii.
Habari ID: 3474825 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/19
TEHRAN (IQNA)- Kamanda wa Kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, kulinda usalama na kuvipa msaada vyombo vya baharini na pia kuonyesha uwezo wa Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu sambamba na kufikisha ujumbe wa amani na urafiki, ndio malengo ya Iran ya kuwepo kijeshi kwenye eneo la maji ya kimataifa.
Habari ID: 3474820 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/17
TEHRAN (IQNA)-Majaji wanaendelea kusikliza klipu zilizotumwa na washiriki wa awamu ya mchujo ya Mashindano ya 38 ya Kimataifa ya Qur’ani ya Iran.
Habari ID: 3474811 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/15
TEHRAN (IQNA)- Duru ya Saba ya Mashindano ya Kimataifa ya Wanafunzi wa Shule itafanyika Iran kwa kushiriki wawakilishi wan chi 25.
Habari ID: 3474808 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/15
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, adui anaihitajia zaidi Iran katika mazungumzo yanayoendelea mjini Vienna Austria na kusisitiza kuwa, inabidi tusimame imara na kwa ghera katika vita vya kidiplomasia.
Habari ID: 3474806 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/14
TEHRAN (IQNA)- Duru ya mchujo ya Mashindano ya 38 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran imeanza Jumatano na itaendelea kwa muda wa siku nne.
Habari ID: 3474804 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/13
TEHRAN (IQNA) - Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amekutana na Ismail Haniyeh kiongozi Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, mjini Doha, Qatar.
Habari ID: 3474798 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/12
TEHRAN (IQNA)- Afisa mwandamizi wa Shirika la Wakfu la Iran amesema kuna haja ya kuundwa taasisi ya kimataifa ya nchi zinazoandaa mashindano ya kimataifa ya Qur'ani.
Habari ID: 3474791 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/10
TEHRAN (IQNA)- Duru ya mwisho ya Mashindano ya 26 ya Kitaifa ya Qur’ani Tukufu ya Jeshi la Polisi Iran yatafanyika katika mji wa Mashhad kaskazini mashariki mwa Iran.
Habari ID: 3474785 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/09
TEHRAN (IQNA) – Duru ya mchujo ya Mashindano ya 38 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Iran imepangwa kuanzia Januari 9 mjini Tehran.
Habari ID: 3474780 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/08
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu imetangaza kuwa, kutimuliwa utawala wa Marekani katika eneo nyeti la Asia Magharibi ni jibu kwa ujuha na ujinga wa adui katika kumuua Luteni Jenerali Qassem Soleimani.
Habari ID: 3474776 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/07