Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran
TEHRAN (IQNA)-Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa katika miezi michache iliyopita kumefanyika mawasiliano ya mara kwa mara kati ya Iran na Saudi Arabia na kuongeza kuwa, mazungumzo mazuri yamefanyika juu ya maswala yanayozihusu pande mbili.
Habari ID: 3474336 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/24
TEHRAN (IQNA)- Duru ya 27 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Croatia imeanza Jumatano katika mji mkuu wa nchi hiyo, Zagreb.
Habari ID: 3474330 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/23
Rais Raisi wa Iran katika hotuba kwa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa
TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema juhudi za Marekani na washirika wake za kuitwisha dunia ubeberu wao zimefeli vibaya na kwamba siasa hizo za ubeberu hazina itibari tena kimataifa.
Habari ID: 3474324 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/22
TEHRAN (IQNA)- meli ya tatu iliyobeba shehena ya mafuta ya Iran imeondoka hapa nchini kuelekea Lebanon ikiwa ni katika mkakati wa kuvunja vikwazo vya Marekani dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu.
Habari ID: 3474318 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/20
Kiongozi Muadhamu katika mkutano na wanamichezo wa Olimpiki na Paralimpiki
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema, kutotambuliwa na kususiwa utawala ghasibu wa Israel katika michezo ni jambo muhimu sana.
Habari ID: 3474308 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/18
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) inaweza kuwa kichocheo muhimu cha mtazamo mmoja wa pande kadhaa ulimwenguni.
Habari ID: 3474307 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/17
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewasili katika mji mkuu wa Tajikistan, Dushanbe, ambako anashiriki mkutano wa wakuu wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) unaofanyika nchini humo leo na kesho.
Habari ID: 3474303 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/16
TEHRAN (IQNA)- Viongozi na wananchi wa Lebanon wameishukuru kwa dhati Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kuwatumia mafuta ambayo yamevunja vikwazo vya kidhalimu vya Marekani.
Habari ID: 3474300 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/16
TEHRAN (IQNA)- Iraq imeafiki kuwaruhusu Wairini 60,000 kushiriki katika ziyara na mjumuiko wa siku ya Arubaini ya Imam Hussein AS mwaka huu.
Habari ID: 3474292 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/13
Katika Mkutano wa Rais wa Iran na Waziri Mkuu wa Iraq
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika mazungumzo na waandishi wa habari akiwa pamoja na Waziri Mkuu wa Iraq kwamba, idadi ya wafanya ziara wa Iran katika Arubaini ya Imam Husain AS itaongezwa mwaka huu.
Habari ID: 3474287 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/12
TEHRAN (IQNA)- Hivi karibuni klipu ya Ustadh Ahmad Abulqasimi, mwalimu na qarii wa kimataifa Mu iran i akisoma Surat Al Fath imesambazwa.
Habari ID: 3474284 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/11
Matukio ya Afghanistan
TEHRAN (IQNA)- Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, asilimia 97 ya wananchi wa Afghanistan wamo katika hatari ya kuingia chini ya mstari wa umasikini.
Habari ID: 3474280 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/10
Kiongozi wa Idara ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ameishukuru Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kuendelea kuunga mkono Wapalestina na harakati zao za muqawama au mapambano.
Habari ID: 3474259 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/05
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu za rambirambi kufuatia kuaga dunia Ayatullahil Udhma Sayyid Mohammad Saeed Tabatabai Hakim wa Iraq.
Habari ID: 3474257 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/04
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitizia udharura wa kuongezwa kiwango cha mabadilishano ya kibiashara na ushirikiano na mataifa j iran i.
Habari ID: 3474247 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/01
TEHRAN (IQNA)- Mkutano wa 31 wa Mfumo wa Kiislamu wa Iran umeanza hapa Jumanne hapa Tehran.
Habari ID: 3474243 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/31
TEHRAN (IQNA) –Kongamano la 35 la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu limepengwa kufanyika mwezi Oktoba kwa njia ya intaneti.
Habari ID: 3474240 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/30
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa: "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itaunga mkono taifa madhulumu la Waislamu la Afghanistan katika hali yoyote ile." Aidha ameongeza kuwa, uhusiano wa Iran na serikali zingine utategemea muamala wao na Iran.
Habari ID: 3474233 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/28
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran akiwa na baraza lake la mawaziri wamefika katika Haram Takatifu ya muasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Imam Khomieni -Mwenyezi Mungu Amrehemu-na kujadidisha bai'a na mkono wa utii kwa malengo ya Imam na Mapinduzi ya Kiislamu.
Habari ID: 3474227 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/26
TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raisi anasema amechagua baraza la mawaziri ili kuboresha uchumi na kupambana na ufisadi.
Habari ID: 3474212 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/21