IQNA-Karibu misikiti 30,000 katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeanzisha harakati maalumu ya kusoma Qur'ani Tukufu iliyopewa jina la 'Tilawat
Habari ID: 3470883 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/07
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema utawala wa Kizayuni wa Israel unalenga kuvuruga uhusiano mzuri wa Iran na nchi j iran i ya Jamhuri ya Azerbaijan.
Habari ID: 3470881 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/06
IQNA-Maonyesho ya 25 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Tehran yamepangwa kufanyika katika Ukumbi wa Sala wa Imam Khomeini MA.
Habari ID: 3470870 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/27
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, kuwafuata sawasawa Maimamu maasumu AS ni kuwafuata kivitendo watukufu hao na kudumisha mapambano dhidi ya ukafiri na unafiki.
Habari ID: 3470867 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/24
Taarifa ya mwisho ya mkutano wa Tehran kuhusu Palestina
IQNA-Taarifa ya mwisho ya Mkutano wa Sita wa Kimataifa wa Kuunga Mkono Intifadha ya Palestina uliomalizika leo hapa mjini Tehran limesisitizia udharura wa kulindwa kadhia ya Palestina ambayo ni kipaumbele cha kwanza cha nchi ulimwengu wa Kiislamu na za Kiarabu na ndilo zingatio kuu la fikra za walio wengi duniani.
Habari ID: 3470864 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/22
IQNA: Mkutano wa Kimataifa wa Kuunga Mkono Intifadha ya Palestina utafanyika tarehe 21 na 22 Februari katika mji mkuu wa Iran, Tehran.
Habari ID: 3470856 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/19
IQNA: Washindi wa Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu nchini Iran wametunukiwa zawadi katika hafla iliyofanyika mjini Tehran Ijumaa.
Habari ID: 3470855 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/18
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, Marekani inatumia hila ya kurudia rudia vitisho vya kuishambulia kijeshi Iran ili kuwatoa viongozi wa Jamhuri ya Kiislamu katika uwanja wa vita vya kweli ambavyo ni vita vya kiuchumi.
Habari ID: 3470851 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/16
IQNA: Iran imealika nchi 70 kushiriki katika Mashindano ya Tano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya wanafunzi wa shule.
Habari ID: 3470846 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/12
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika mkutano na Waziri Mkuu wa Sweden
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema, matatizo yote ya eneo la Mashariki ya Kati ni uingiliaji wa baadhi ya madola makubwa ikiwemo Marekani katika masuala ya ndani ya eneo hili.
Habari ID: 3470844 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/11
Rais Hassan Rouhani
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, wananchi wa Iran kamwe hawajaondoka katika njia na harakati ya kuyaunga mkono Mapinduzi ya Kiislamu na kutimiza malengo ya Imam Ruhullah Khomeini na Kiongozi wa sasa wa Mapinduzi, Ayatullah Ali Khamenei.
Habari ID: 3470842 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/10
IQNA-Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni moja ya nchi zenye nafasi kubwa katika matukio ya eneo la Mashariki ya Kati.
Habari ID: 3470841 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/09
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
IQNA:Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa taifa la Iran litajibu vitisho vilivyotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani katika maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran Ijumaa ijayo.
Habari ID: 3470839 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/07
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali uamuzi wa serikali ya Marekani kuzuia Waislamu kuingia nchini humo ikisema kuwa, huko ni kuuvunjia heshima waziwazi ulimwengu wa Kiislamu na taifa la Iran.
Habari ID: 3470821 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/29
IQNA-Rais Omar al Bashir w Sudan ametoa madai yasiyo na msingi wowote kuwa eti Iran inaeneza madhehebu ya Shia barani Afrika.
Habari ID: 3470816 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/27
IQNA-Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeandaa mashindano ya pili ya kimataifa ya Qur'ani ya watu wenye ulemavu wa macho.
Habari ID: 3470803 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/18
IQNA-Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imejibu mwaliko rasmi uliotumwa na Saudi Arabia kuhusu kushiriki katika mazungumzo kujadili kadhia kushiriki tena Wa iran i katika ibada ya Hija mwaka huu.
Habari ID: 3470801 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/18
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, ametoa salamu za rambirambi kufuatia kufariki dunia Ayatullah Hashemi Rafsanjani.
Habari ID: 3470790 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/09
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, iwapo ustawi wa sayansi katika taifa na nchi utaenda sambamba na malengo ya juu ya kimaanawi na kimapinduzi, jambo hilo litaandaa mazingira ya Iran kuwa kigezo kwa nchi za eneo hili na ulimwengu mzima wa Kiislamu.
Habari ID: 3470776 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/02
Ufalme Saudi Arabia umeiomba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kushiriki katika mazungumzo kuhusu kuwawezesha tena Wa iran i kutekeleza ibada ya Hija.
Habari ID: 3470766 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/30