iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA) –Raia wa Kenya amefika fainali za Mashindano ya 34 ya Kimataifa ya Kuhifadhi Qur'ani Tukufu yanayofanyika nchini Iran.
Habari ID: 3470945    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/22

TEHRAN (IQNA)-Mashindano ya 34 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran yana washiriki kutoka Tanzania, Malawi na Burundi wamewasili Tehran kuwakilisha nchi zao katika mashindano hayo.
Habari ID: 3470942    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/20

TEHRAN (IQNA)-Mashindano ya 34 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Iran yamefunguliwa rasmi Jumatano hii katika Ukumbi wa Sala wa Imam Khomeini MA mjini Tehran.
Habari ID: 3470941    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/19

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, hakuna shaka yoyote kuhusu uadui wa madola ya kibeberu hususan Marekani dhidi ya taifa la Iran na kwamba uadui huo umekuwa ukioneshwa muda wote kwa sura tofauti.
Habari ID: 3470940    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/19

TEHRAN (IQNA)-Mashindano ya kitaifa na kimataifa ya Qur'ani ni kati ya mafanikio makubwa ya mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na yanalenga kuleta umoja wa Waislamu.
Habari ID: 3470936    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/16

TEHRAN (IQNA)-Mashindano ya 34 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yamepangwa kuanza tarehe 19 Aprili mjini Tehran.
Habari ID: 3470932    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/12

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria hujuma ya hivi karibuni ya Marekani nchini Syria na kusema: "Ni jambo linalotarajiwa kwa Marekani kutenda jinai na kukiuka mambo na kudhulumu na imewahi kuyafanya hayo katika maeneo mengine duniani."
Habari ID: 3470928    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/09

TEHRAN (IQNA)-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani hujuma ya Marekani nchini Syria na kutoa wito kwa walimwengu kupinga sera kama hizo.
Habari ID: 3470922    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/08

TEHRAN (IQNA)-Washiriki zaidi ya 280 kutoka nchi 80 wanatazamiwa kushiriki katika mashindano kadhaa ya kimataifa ya Qur’ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mwaka huu.
Habari ID: 3470920    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/06

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema lengo la adui ni kuliwekea mashinikizo ya kiuchumi taifa la Iran na kwamba maadui wanataka kuwafanya wananchi wakate tamaa na kukosa imani na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3470903    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/21

Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe wa kuanza mwaka mpya wa 1396 Hijria Shamsia akiwapongeza Wa iran i na Waislamu kote duniani kwa mnasaba wa siku ya kuzaliwa Bibi Fatima Zahra SA na Sikukuu ya Nowruz na ameupa mwaka mpya jina la Mwaka wa Uchumi wa Kimapambano, Uzalishaji na Ajira.
Habari ID: 3470902    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/20

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Bibi Fatima SA alikuwa dhihirisho la ukamilifu wa mwanamke wa Uislamu na alifikia daraja la juu la 'mwanamke wa Kiislamu' yaani kiasi cha kuitwa 'kiongozi'.
Habari ID: 3470901    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/19

TEHRAN (IQNA)-Wa iran i zaidi ya 85,000 wanatazamiwa kushiriki katika ibada ya Hija mwaka huu kufuatia mapatano baina ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia.
Habari ID: 3470899    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/18

IQNA: Shirika la bidhaa za micehzo la Nike limechukua hatua ya kuingia katika sekta yenye faida ya mavazi ya wanawake Waislamu kwa kuzindua Hijabu maalumu ya kuvaliwa na wanamichezo.
Habari ID: 3470886    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/09

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Jumatano asubuhi amepanda miche miwili ya miti ya matunda katika maadhimisho ya Wiki ya Rasilimali za Maliasili nchini Iran.
Habari ID: 3470885    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/09

IQNA: Msomi kutoka Sudan amebainisha masikitiko yake kuwa Waislamu wamepuuza maudhui za kitiba katika Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3470884    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/07

IQNA-Karibu misikiti 30,000 katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeanzisha harakati maalumu ya kusoma Qur'ani Tukufu iliyopewa jina la 'Tilawat
Habari ID: 3470883    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/07

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema utawala wa Kizayuni wa Israel unalenga kuvuruga uhusiano mzuri wa Iran na nchi j iran i ya Jamhuri ya Azerbaijan.
Habari ID: 3470881    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/06

IQNA-Maonyesho ya 25 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Tehran yamepangwa kufanyika katika Ukumbi wa Sala wa Imam Khomeini MA.
Habari ID: 3470870    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/27

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, kuwafuata sawasawa Maimamu maasumu AS ni kuwafuata kivitendo watukufu hao na kudumisha mapambano dhidi ya ukafiri na unafiki.
Habari ID: 3470867    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/24