Sunni na Shia
        
        TEHRAN (IQNA) - Imam Sadiq (AS) ni mmoja wa shakhsia mashuhuri wa elimu na sayanzi za Kiislamu katika nyanja mbalimbali kama vile fiqhi, tafsiri, maadili, jiografia, uchumi, unajimu, tiba na hisabati, ambapo wanafunzi wake waliibua uwezo mkubwa katika maendeleo ya elimu na sayansi katika kote katika ulimwengu wa Kiislamu.
                Habari ID: 3475297               Tarehe ya kuchapishwa            : 2022/05/26
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA)- 25 Shawwal 1438 Hijria inasadifiana na siku ambayo aliuawa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad SAW, Imam Jafar Sadiq AS.
                Habari ID: 3471076               Tarehe ya kuchapishwa            : 2017/07/20