Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) - Waziri Mkuu wa Pakistan ametoa wito wa umoja wa kimataifa dhidi ya vitendo vya kudhalilisha matakatifu ya Kiislamu.
Habari ID: 3476490 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/30
Jinai dhidi ya Waislamu
TEHRAN (IQNA)- Watu wasiopungua 87 wameuawa katika shambulizi la kujilipua kwa bomu lililotokea katika msikiti wa mji wa Peshawar huko kaskazini magharibi mwa Pakistan.
Habari ID: 3476489 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/30
Waislamu Pakistan
TEHRAN (IQNA) – Serikali ya Pakistan itafuatilia tarjuma za Qur'ani Tukufu zilizo katika mitandao ya kijamii nchini humo ili kuhakikisha kuwa ni shahihi kwenye mitandao ya kijamii.
Habari ID: 3476362 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/06
Waislamu Pakistan
TEHRAN (IQNA) – Serikali ya Pakistani imetangaza kuwa ni lazima kupata Cheti cha Hakuna Pingamizi (NOC) kwa ajili ya kuagiza kutoka nje nchi Misahafu iliyochapishwa katika nchi zisizo za Kiislamu.
Habari ID: 3476255 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/16
Malenga wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Maadhimisho ya miaka 145 ya kuzaliwa kwa mshairi wa Pakistani Allama Muhammad Iqbal yaliadhimishwa kote nchini humo kwa hamasa ya kitaifa siku ya Jumatano.
Habari ID: 3476066 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/10
Kadhia ya Kashmir
TEHRAN (IQNA) - Mwanadiplomasia mwandamizi wa Pakistan amekashifu juhudi za India za kuonyesha haki halali ya mapambano ya uhuru wa Kashmir kama aina ya ugaidi.
Habari ID: 3475646 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/19
Waliowachache
TEHRAN (IQNA) – Waziri wa Pakistan wa Masuala ya Kidini na Upatanifu wa Dini Mbalimbali amesisitiza kwamba Qur’ani Tukufu iliteremshwa kwa ajili ya wanadamu wote, si kwa ajili ya Waislamu pekee.
Habari ID: 3475613 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/12
TEHRAN (IQNA) - Mwanadiplomasia wa Iran amesisitiza ulizamia wa kuwepo ushirikiano wa karibu kati ya nchi za Waislamu kukabiliana na matukio ya chuki dhidi ya Uislamu au Islamophobia na kuvunjiwa heshima matukufu ya Kiislamu duniani.
Habari ID: 3475524 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/22
Hujjatul Islam Ahmad Marvi
MASHHAD (IQNA)- Hujjatul Islam Ahmad Marvi anasema tatizo kubwa la ulimwengu wa Kiislamu ni kushindwa kumtambua adui halisi.
Habari ID: 3475396 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/19
Benki za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Sekta ya benki ya Kiislamu ya Pakistani inakadiriwa kuwa inastawi haraka na hivyo itazipita kwa kiasi kikubwa benki za kawaida ifikapo 2026.
Habari ID: 3475293 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/25
TEHRAN (IQNA)- Mwanasiasa wa upinzani Shehbaz Sharif amewasilisha pendekezo la kutaka kuteuliwa kuwa waziri mkuu wa Pakistan baada ya Imran Khan kuuzuliwa na bunge.
Habari ID: 3475108 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/10
TEHRAN (IQNA) - Waziri Mkuu wa Pakistani Imran Khan alisema nchi yake daima itabaki kuwa ngome ya Uislamu na mtetezi wa haki na maslahi ya Waislamu duniani kote.
Habari ID: 3475061 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/20
TEHRAN (IQNA)- Waislamu wasiopungua 57 wameuawa shahidi leo wakati wa Sala ya Ijumaa katika shambulizi la kigaidi lililofanyika ndani ya msikiti mmoja ulioko katika mji wa Peshawar nchini Pakistan.
Habari ID: 3475004 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/04
TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Pakistan imeitaka jamii ya kimataifa, hususan Umoja wa Mataifa na mashirika husika ya kimataifa ya haki za binadamu, kuiwajibisha India kutokana na kukithiri ukiukaji wake wa haki za binadamu dhidi ya walio wachache, hasa Waislamu.
Habari ID: 3474971 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/24
TEHRAN (IQNA)- Waziri Mkuu wa Pakistan Imran Khan amempongeza mwenzake wa Canada kutokana na hatua yake ya kulaani chuki dhidi ya Uislamu yaani Islamophobia huku akitaka kuwepo jitihada maalumu za kukabiliana na tatizo hilo.
Habari ID: 3474868 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/30
TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Jumuiya ya Tanzim Islami (TI) ya Pakistan amelaani vikali hatua ya Ufaransa kufunga msikiti katika mji wa Cannes nchini humo.
Habari ID: 3474809 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/15
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu amesema kuwa, umoja na mshikamano wa Waislamu ndiyo silaha pekee inayoweza kutumiwa kwa ajili ya kupambana na njama zinazofanywa dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3474733 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/28
Waziri wa Teknolojia Pakistan
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Sayansi na Teknolojia Pakistan amesema soko la sekta halali duniani linastawi kwa kasi na yamkini pato lake likafika matrilioni ya dola katika mustakabli wa karibu.
Habari ID: 3474721 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/25
TEHRAN (IQNA) Jumapilia 19 Disemba, mji mkuu wa Pakistan, Islamabad utakuwa mwenyeji wa Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) ambapo jenda kuu na pekee ya mkutano huo ni kuchunguza matukio ya Afghanistan hususan hali ya kibinadamu katika nchi hiyo.
Habari ID: 3474692 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/18
TEHRAN (IQNA)- Katika mitandao ya kijamii kumesambaa kilpu ya Qarii Abdullah Khaled wa Pakistan akiwa anasoma aya za Surah Ibrahim.
Habari ID: 3474610 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/28