pakistan - Ukurasa 5

IQNA

Idadi kubwa ya watu wameuawa katika mlipuko wa bomu uliolenga hospitali kuu ya mji wa Quetta, kusini magharibi mwa Pakistan.
Habari ID: 3470508   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/08

Taasisi ya Kitaifa ya Vitabu Pakistan imezindua kitabu maalumu cha hadithi za Qur’ani maalumu kwa watoto wadogo.
Habari ID: 3470489   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/02

Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani mashambulio ya hivi karibuni za kigaidi katika mji wa Lahore Pakistan na karibu na Baghdad mji mkuu wa Iraq.
Habari ID: 3470218   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/28

Gazeti moja la Uingereza hivi karibuni limechapisha orodha ya misikiti 25 bora duniani kwa mtazamo wa usanifu majengo.
Habari ID: 3338961   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/04

Kiongozi wa Jumuiya ya Jamaatud Dawa nchini Pakistna Hafidh Saeed Ahmad ametoa wito wa kuanzishwa 'Umoja wa Mataifa ya Kiislamu' ili kutatua matatizo waliyonayo Waislamu duniani.
Habari ID: 2615835   Tarehe ya kuchapishwa : 2014/12/07

Msikiti wa saba kwa ukubwa zaidi duniani umefunguliwa katika mji wa Lahore nchini Pakistan.
Habari ID: 1459697   Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/12

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Ayatullah Udhma Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameyataja makundi ya kitakfiri kuwa ni hatari kwa Waislamu wote, wawe Waislamu wa Kishia au Waislamu wa Kisuni.
Habari ID: 1406467   Tarehe ya kuchapishwa : 2014/05/13