iqna

IQNA

pakistan
Qurani Tukufu
IQNA - Waziri anayemaliza muda wake wa masuala ya kidini wa Pakistan amesisitiza wajibu wa kila Muislamu mwanamume na mwanamke kueneza elimu ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3478454    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/05

Taazia
IQNA – Marjaa Mkuu wa Waislamu wa Madhehebu ya Shia nchini Iraq, Ayatullah Seyed Ali al-Sistani ametoa pole kwa kifo cha Sheikh Mohsin Ali Najafi, mfasiri wa Qur'ani na mwanachuoni mwandamizi wa Pakistan.
Habari ID: 3478176    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/10

Uhusiano wa Waislamu na Wakristo
IQNA - Msikiti mmoja huko Abbottabad uliandaa sherehe ya Krismasi kwa watoto wa Kikristo, ambapo wanafunzi Waislamu wa madrassa walikabidhiwa mabegi ya shule na zawadi.
Habari ID: 3478101    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/27

Kadhia ya Kashmir
IQNA - Mamlaka katika eneo linalozozaniwa la Kashmir linalotawaliwa na India haikuruhusu Sala ya Ijumaa ya jamaa kwenye Msikiti wa Jamia huko Srinagar kwa wiki ya kumi mfululizo.
Habari ID: 3478042    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/16

Vita dhidi ya ugaidi
Nchi za Kiislamu zimelaani vikali mashambulizi mawili ya kigaidi ambayo yamesababisha vifo vya watu wengi nchini Pakistan.
Habari ID: 3477670    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/30

Ugaidi
Takriban watu 52 wameuawa na zaidi ya watu 80 kujeruhiwa katika mlipuko katika jimbo la kusini magharibi la Balochistan nchini Pakistan, kulingana na maafisa wa eneo hilo.
Habari ID: 3477665    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/29

Maelewano ya kidini
ISLAMABAD (IQNA) - Msikiti katika mji wa Jaranwala, mkoa wa Punjab wa Pakistan, ulifungua mlango wake kwa Wakristo wanaohitaji mahali pa ibada.
Habari ID: 3477474    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/21

Chuki dhidi ya Uislamu
ISLAMABAD (IQNA) - Afisa mmoja wa Pakistani alitoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuhakikisha sheria dhidi ya kufuru na kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu zinapitishwa katika nchi zao.
Habari ID: 3477265    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/10

Chuki dhidi ya Uislamu
ISLAMABAD (IQNA) - Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imehimizwa kubuni mikakati ya kukabiliana na chuki inayoongezeka dhidi ya Uislamu duniani kote.
Habari ID: 3477253    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/08

Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) - Waziri Mkuu wa Pakistan ametoa wito wa umoja wa kimataifa dhidi ya vitendo vya kudhalilisha matakatifu ya Kiislamu.
Habari ID: 3476490    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/30

Jinai dhidi ya Waislamu
TEHRAN (IQNA)- Watu wasiopungua 87 wameuawa katika shambulizi la kujilipua kwa bomu lililotokea katika msikiti wa mji wa Peshawar huko kaskazini magharibi mwa Pakistan.
Habari ID: 3476489    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/30

Waislamu Pakistan
TEHRAN (IQNA) – Serikali ya Pakistan itafuatilia tarjuma za Qur'ani Tukufu zilizo katika mitandao ya kijamii nchini humo ili kuhakikisha kuwa ni shahihi kwenye mitandao ya kijamii.
Habari ID: 3476362    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/06

Waislamu Pakistan
TEHRAN (IQNA) – Serikali ya Pakistani imetangaza kuwa ni lazima kupata Cheti cha Hakuna Pingamizi (NOC) kwa ajili ya kuagiza kutoka nje nchi Misahafu iliyochapishwa katika nchi zisizo za Kiislamu.
Habari ID: 3476255    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/16

Malenga wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Maadhimisho ya miaka 145 ya kuzaliwa kwa mshairi wa Pakistani Allama Muhammad Iqbal yaliadhimishwa kote nchini humo kwa hamasa ya kitaifa siku ya Jumatano.
Habari ID: 3476066    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/10

Kadhia ya Kashmir
TEHRAN (IQNA) - Mwanadiplomasia mwandamizi wa Pakistan amekashifu juhudi za India za kuonyesha haki halali ya mapambano ya uhuru wa Kashmir kama aina ya ugaidi.
Habari ID: 3475646    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/19

Waliowachache
TEHRAN (IQNA) – Waziri wa Pakistan wa Masuala ya Kidini na Upatanifu wa Dini Mbalimbali amesisitiza kwamba Qur’ani Tukufu iliteremshwa kwa ajili ya wanadamu wote, si kwa ajili ya Waislamu pekee.
Habari ID: 3475613    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/12

TEHRAN (IQNA) - Mwanadiplomasia wa Iran amesisitiza ulizamia wa kuwepo ushirikiano wa karibu kati ya nchi za Waislamu kukabiliana na matukio ya chuki dhidi ya Uislamu au Islamophobia na kuvunjiwa heshima matukufu ya Kiislamu duniani.
Habari ID: 3475524    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/22

Hujjatul Islam Ahmad Marvi
MASHHAD (IQNA)- Hujjatul Islam Ahmad Marvi anasema tatizo kubwa la ulimwengu wa Kiislamu ni kushindwa kumtambua adui halisi.
Habari ID: 3475396    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/19

Benki za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Sekta ya benki ya Kiislamu ya Pakistani inakadiriwa kuwa inastawi haraka na hivyo itazipita kwa kiasi kikubwa benki za kawaida ifikapo 2026.
Habari ID: 3475293    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/25

TEHRAN (IQNA)- Mwanasiasa wa upinzani Shehbaz Sharif amewasilisha pendekezo la kutaka kuteuliwa kuwa waziri mkuu wa Pakistan baada ya Imran Khan kuuzuliwa na bunge.
Habari ID: 3475108    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/10