TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, uhusiano wa mataifa mawili ya Iran na Pakistan ni wa moyoni uliokita mizizi vyema na kusisitiza kuwa, uhusiano huo unapaswa kuimarishwa kadiri inavyowezekana hata kama maadui wa mataifa haya mawili watachukizwa na hilo
Habari ID: 3471924 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/04/23
TEHRAN (IQNA) – Katika kipindi cha siku kadhaa sasa kumeibuka uhasama mkubwa baina ya India na Pakistan na kuna hatari ya kuibuka vita kamili baina ya madola hayo mawili yenye makombora ya nyuklia.
Habari ID: 3471856 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/02/28
TEHRAN (IQNA) Imran Khan, Mkuu wa chama cha Tehreek-e-Insaf (PTI) cha nchini Pakistan na kilichoshinda uchaguzi wa Bunge la nchi hiyo amesisitiza kuwa chama chache kinataka kustawisha uhusiano mwema na majirani zake ikiwemo Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3471609 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/27
TEHRAN (IQNA)- Watu wasiopungua 132 wameuawa hii leo katika milipuko ya mabomu yaliyolenga mikutano miwili ya kampeni za uchaguzi nchini Pakistan.
Habari ID: 3471592 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/13
Waziri wa Mambo ya Ndani Pakistan
TEHRAN (IQNA)-Waziri wa Mambo ya Ndani Pakistan Ahsan Iqbal amesema Qur'ani Tukufu ni kama ramani ya njia katika mwaisha ya mwanadamu.
Habari ID: 3471374 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/28
TEHRAN (IQNA)-Magaidi wakufurishaji wa Taliban wamekiri kutekeleza hujuma iliyolenga msikiti nchini Pakistan na kuua watu 24 na wengine zaidi ya 90 kujeruhiwa.
Habari ID: 3470914 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/31
Idadi kubwa ya watu wameuawa katika mlipuko wa bomu uliolenga hospitali kuu ya mji wa Quetta, kusini magharibi mwa Pakistan.
Habari ID: 3470508 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/08
Taasisi ya Kitaifa ya Vitabu Pakistan imezindua kitabu maalumu cha hadithi za Qur’ani maalumu kwa watoto wadogo.
Habari ID: 3470489 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/02
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani mashambulio ya hivi karibuni za kigaidi katika mji wa Lahore Pakistan na karibu na Baghdad mji mkuu wa Iraq.
Habari ID: 3470218 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/28
Gazeti moja la Uingereza hivi karibuni limechapisha orodha ya misikiti 25 bora duniani kwa mtazamo wa usanifu majengo.
Habari ID: 3338961 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/04
Kiongozi wa Jumuiya ya Jamaatud Dawa nchini Pakistna Hafidh Saeed Ahmad ametoa wito wa kuanzishwa 'Umoja wa Mataifa ya Kiislamu' ili kutatua matatizo waliyonayo Waislamu duniani.
Habari ID: 2615835 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/12/07
Msikiti wa saba kwa ukubwa zaidi duniani umefunguliwa katika mji wa Lahore nchini Pakistan.
Habari ID: 1459697 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/12
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Ayatullah Udhma Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameyataja makundi ya kitakfiri kuwa ni hatari kwa Waislamu wote, wawe Waislamu wa Kishia au Waislamu wa Kisuni.
Habari ID: 1406467 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/05/13