muharram - Ukurasa 2

IQNA

Al Kaaba Tukufu
TEHRAN (IQNA)- Jumamosi kumefanyika hafla ya kubadilisha pazia la al-Kaaba Tukufu linalojulikana kama Kiswa baada ya kuwadia mwezi wa Muharram 1444 Hijria, ambao ni mwezi wa kwanza katika kalenda ya Kiislamu.
Habari ID: 3475561   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/31

TEHRAN (IQNA) Kundi kuu la upinzani la Bahrain, Jumuiya ya Kitaifa ya Kiislamu ya al-Wefaq, imelaani mashambulio na uchokozi wa utawala Al Khalifa wakati wa maombolezo ya Muharram.
Habari ID: 3474217   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/22

TEHRAN (IQNA)- Watu kote Iran wanaendelea na mijimuiko kwa ajili ya kuomboleza kuuawa shahidi Imam Hussein AS na wafuasi wake watiifu 72 katika janga la Karbala mwaka 61 Hijria Qamaria.
Habari ID: 3474203   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/18

Katika mkesha Tasu'a ya Imam Hussein AS, waislamu, hasa wa Madhehebu ya Shia wameghiriki katika maombolezo kwa mnasaba wa siku hii.
Habari ID: 3474202   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/18

TEHRAN (IQNA)- Imesisitizwa sana kuandaa na kushiriki katika Majlisi za kukumbuka kuuawa shahidi Imam Hussein AS katika mwezi wa Muharram.
Habari ID: 3474189   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/14

TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, kwa sasa harakati ya Hizbullah ni nembo kubwa ya muqawama na ina taathira ya kustaajabisha kitaifa na pia kikanda.
Habari ID: 3474188   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/14

TEHRAN (IQNA)- Hafla za Kimataifa kwa jina la "Watoto Wachanga Wanaonyonya wa Hussein AS" zimefanyika leo Ijumaa katika maeneo mbalimbali hapa nchini Iran na katika nchi 45 duniani sambamba na Ijumaa ya kwanza ya mwezi wa Muharram.
Habari ID: 3474186   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/13

TEHRAN (IQNA)- Kuna msema usemao "Kila siku ni Ashura na kila ardhi ni Karbala." Lakini maana yake ni nini haswa?
Habari ID: 3474183   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/12

TEHRAN (IQNA)-Katibu mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesistiza ulazima wa wale wanaohudhuria maombolezo ya Muharram kuzingatia kanuni za kiafya.
Habari ID: 3474181   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/11

TEHRAN (IQNA)- Katika mkesha wa kuanza mwezi wa Muharram, bendera ya Msikiti wa Jamkaran karibu na mji wa Qum nchini Iran imebadilishwa ambapo ile ya kijani kibichi imeshushwa na nyeusi ikapandishwa.
Habari ID: 3474173   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/09

TEHRAN (IQNA)- Maonyesho maalumu yamezinduliwa katika eneo la Rey, kusini mwa Tehran kwa lengo la kuonyesha vifaa vinavyotumika katika maombolezo ya Muharram.
Habari ID: 3474166   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/07

TEHRAN (IQNA) -mamilioni ya Waislamu wa Iran na maeneo mengine ya dunia usiku wa kuamkia leo tarehe 9 Mfunguo Nne Muharram wameshiriki katika vikao, majlisi na shughuli za maombolezo ya Tasua huku wakizingatia kanuni za kiafya ili kuzuia kuenea ugonjwa wa corona.
Habari ID: 3473114   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/29

TEHRAN (IQNA) - Maafisa wa polisi nchini Nigeria wamewashambulia Waislamu waliokuwa wamekusanyika kwa ajili ya maombolezo ya Muharram ya Imam Hussein AS, katika jimbo la Kaduna.
Habari ID: 3473097   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/24

TEHRAN (IQNA) – Katika usiku wa kwanza wa mwezi wa Muharram, ambao ni kwanza wa Hijriya Qamariya, kumeanza maombolezo wakati huu wa kumbukumbu ya kuuawa shahidi Imam Hussein AS katika eneo la Haram takatifu za Al Kadhimiya huko, Baghdad, Iraq na meneo mengine ya nchi hiyo.
Habari ID: 3473093   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/23

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrallah ametoa wito kwa Waislamu kujikuza kiroho, kisaikolojia na kiakili katika maombolezo ya Mwezi wa Muharram.
Habari ID: 3473089   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/21

TEHRAN (IQNA) – Harakati za Hizbullah na Amal nchini Lebanon zimetoa wito kwa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini humo kufanya maombolezo ya Imam Hussein AS katika Mwezi wa Muharram mwaka huu majumbani.
Habari ID: 3473057   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/11

TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Afya ya Iran imetangaza maelekezo ya kiafya ambayo yanapaswa kufuatwa katika wa maombolezo ya kumbukumbu ya kuuawa shahidi Mjukuu wa Mtume Muhammad SAW, Imam Hussein AS.
Habari ID: 3473032   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/04

TEHRAN (IQNA) - Mamilioni ya Waislamu kote duniani hii leo wanaomboleza katika siku ya Ashura ambayo ni siku aliyouawa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad SAW, Imam Hussein AS.
Habari ID: 3472122   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/10

TEHRAN (IQNA) – India imeweka sheria ya kutotoka nje katika sehemu kadhaa la eneo linalozozaniwa la Kashmir baada ya jeshi kkuwashambulia Waislamu wa madhehebu ya Shia waliokuwa wanashiriki katika maombolezo ya mwezi wa Muharram.
Habari ID: 3472120   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/08

TEHRAN (IQNA)- Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Kenya wanaendelea na maombolezo ya mwezi Muharram katika kukumbuka kuuhawa Shahidi Imam Hussein AS na wafuasia wake katika jangwa la Karbala.
Habari ID: 3471672   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/16