iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)-Idhaa ya Qur'ani nchini Tunisia imesitisha matangazo yake baada ya serikali ya nchi hiyo kuipiga marufuku kutokana na kueneza itikadi za ukufurishaji .
Habari ID: 3471247    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/04