IQNA – Wazungumzaji katika mkutano kuhusu Maulana Jalaluddin Rumi uliofanyika Kuala Lumpur, Malaysia, wameangazia namna dunia ya sasa inavyohitaji mafundisho ya mshairi na sufi huyo mkubwa wa Kiirani.
Habari ID: 3481529 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/11/17
TEHRAN (IQNA)- Kituo kipya cha Kiislamu kimefunguliwa katika mjini Mombasa, Kenya katika mtaa wa Majengo kwa lengo la kukabiliana na misimamo mikali ya kidini.
Habari ID: 3471428 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/14
TEHRAN (IQNA)- Waislamu wasiopungua 305 wameuawa na wengine zaidi ya 100 kujeruhiwa katika shambulizi la magaidi wa Kiwahhabi dhidi ya msikiti mmoja wa Twariqa katika Peninsula ya Sinai nchini Misri.
Habari ID: 3471278 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/24