IQNA – Washindi wa mashindano ya tuzo za Qur’ani nchini Kuwait walitunukiwa zawadi katika sherehe iliyofanyika katika mji mkuu wa nchi hiyo siku ya Jumanne.
Habari ID: 3480585 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/23
IQNA – Kamati ya Kuutangaza Uislamu Kuwait imesambaza tafsiri za Qur'ani kwa lugha mbalimbali katika misikiti nchini humo kama sehemu ya mpango wa kitaifa.
Habari ID: 3480575 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/21
IQNA – Katika mwezi Mtukufu wa Ramadhani wa mwaka 1446 Hijria (2025) , Kuwait imesema imeshuhudia ongezeko la ajabu la watu wanaokumbatia Uislamu.
Habari ID: 3480493 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/04
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Sherehe za uzinduzi wa mashindano ya 13 ya kimataifa ya Qur'ani ya Kuwait zilifanyika katika mji wa Kuwait Jumatano jioni. Waziri wa Masuala ya Kiislamu na Wakfu Mohammad Al-Wasmi, wajumbe wa jopo la majaji na washindani walihudhuria sherehe za ufunguzi.
Habari ID: 3479752 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/15
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Iran itakuwa na wawakilishi watatu katika toleo la 13 la mashindano ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Kuwait.
Habari ID: 3479746 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/13
IQNA - Tuzo la 13 la Kimataifa la Qur'ani la Kuwait, linaloshirikisha mashindano ya kuhifadhi, qiraa na Tajweed, litafanyika kuanzia Novemba 13 hadi 20, 2024.
Habari ID: 3479723 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/09
Qur'ani Tukufu
IQNA – Msururu wa kozi za Qur’ani zimepangwa kuandaliwa kwa ajili ya walimu wa shule nchini Kuwait.
Idara ya Mafunzo ya Kiislamu ya nchi hiyo ya Kiarabu katika Ghuba ya Uajemi itaendesha kozi hizo kwa ushirikiano na Jumuiya ya Kuwait ya Misaada na Maendeleo ya Kibinadamu.
Habari ID: 3479643 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/25
Shughuli za Qur'ani
IQNA - Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu ya Kuwait ilipuuza uvumi kuhusu kufungwa halqa au vikao vya kusoma Qur'ani nchini humo.
Habari ID: 3479235 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/06
Jumuiya ya Kuwait
Jumuiya ya Kufufua Turathi za Kiislamu ya Kuwait imesema imezindua kozi za Qur'ani.
Habari ID: 3479105 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/11
Qur'ani Tukufu
IQNA - Toleo la 4 la Mashindano ya Familia ya Qur'ani lilianza nchini Kuwait siku ya Ijumaa.
Habari ID: 3478567 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/24
Utamaduni
IQNA – Jumba la Makumbusho ya Qur'ani la "Bait Al-Hamd" limezinduliwa nchini Kuwait kwa lengo la kukuza Qur'ani Tukufu na maarifa ya Kiislamu.
Habari ID: 3478451 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/04
Mwanaharakati wa Kuwait
IQNA - Mwanaharakati mmoja wa Kuwait alielezea hali ya sasa ya Palestina na vita vya mauaji ya halaiki vinavyoendeshwa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ghaza kuwa ni fedheha kwa nchi zinazodai kuwa watetezi wa haki za binadamu.
Habari ID: 3478223 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/20
Taazia
IQNA- Amiri wa Kuwait Sheikh Nawaf al-Ahmad al-Jaber al-Sabah amefariki dunia leo akiwa na umri wa miaka 86.
Habari ID: 3478044 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/16
KUWAIT CITY (IQNA) - Waziri wa Wakfu na masuala ya Kiislamu wa Kuwait amesisitiza haja ya Waislamu kuwaunga mkono watu wa Palestina.
Habari ID: 3477866 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/09
KUWAIT CITY (IQNA) – Duru ya 26 ya Mashindano ya Kitaifa ya Kuhifadhi na Kusoma Qur'ani Tukufu nchini Kuwait yalianza katika mji mkuu wa nchi hiyo ya Kiarabu siku ya Jumapili.
Habari ID: 3477849 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/06
Mashindano ya Qur'ani Tukufu
KUWAIT CITY (IQNA) - Toleo la mwaka huu la Tuzo la Kimataifa la Qur'ani Tukufu la Kuwait litafanyika mwezi ujao.
Habari ID: 3477779 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/24
Mashindano ya Qur'ani Tukufu
KUWAIT CITY (IQNA) - Kaimu Katibu Mkuu wa Sekretarieti Kuu ya Awqaf Hanan Ali alitangaza uzinduzi wa toleo la 26 la Mashindano ya Kuhifadhi na Kusoma Qur'ani Tukufu kwa Kuwait kwa mwaka wa 2023.
Habari ID: 3477452 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/17
Siasa
Mrengo wa upinzani nchini Kuwait kwa mara nyingine tena umeshinda wingi wa viti vya Bunge nchini humo katika uchaguzi mkuu wa saba wa nchi hiyo ya Ghuba ya Uajemi huku kukiwa na matumiani kuwa ushindi huo utafanikisha vita dhidi ya ufisadi nchini humo.
Habari ID: 3477118 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/08
Mashindano ya Qur'ani ya Iran
TEHRAN (IQNA) - Mtaalamu wa Qur'ani Tukufu kutoka Kuwait ambaye alikuwa katika jopo la majaji wa kitengo cha wanawake cha Mashindano ya 39 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran amesema mashindano hayo yanaweza kuwa mfano wa kuigwa na nchi zingine ambazo huandaa mashindano ya kimataifa ya Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3476619 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/24
Mwezi wa Ramadhani
TEHRAN (IQNA)- Huku mwezi mtukufu wa Ramadhani ukitazamiwa kuanza Machi 23, Wizara ya Wakfu ya Kuwait imeanza maandalizi yake ya awali ya kuupokea mwezi huu mtukufu, na kuandaa misikiti kwa ajili ya kupokea maelfu ya waumini kuswali sala ya Taraweh na sala nyingine za jamaa katika mwezi huu.
Habari ID: 3476561 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/14