IQNA

Mjumuiko wa Wanaharakati wa Qur’ani Iran katika Khitma ya Shahidi Sayyid Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hizbullah

IQNA – Khitma  kwa ajili ya Shahidi Sayyid Hassan Nasrallah, Kiongozi wa Hizbullah, iliyowaleta pamoja wanaharakati wa Qur'ani wa Iran, wakiwemo wasimamizi wa Qur'ani, wanazuoni, walimu, maqari na wahifadhi ilifanyika mjini Tehran Jumatano usiku Oktoba 2, 2024, kwa jina la "Jeshi la Watu wa Qur'ani wa al-Quds".

Washiriki wamelaani vikali kitendo cha  utawala katili wa Israel cha kumuua kigaidi Sayyid Hassan Nasrallah. Washirii walimuenzi kiongozi huyo mkubwa wa muqawama na mashahidi wengine wa mapambano ya Kiislamu au muqawama.

 
 
Habari zinazohusiana