IQNA

Qari wa Misri Sheikh Hissan na urithi wa qiraa isiofifia

Qari wa Misri Sheikh Hissan na urithi wa qiraa isiofifia

IQNA – Sheikh Muhammad Abdulaziz Hissan, qari mashuhuri wa Misri aliyekuwa na ulemavu wa macho, alikuwa na shule ya kipekee ya sauti na maqam, na aliacha nyuma mamia ya kanda za usomaji wa Qur’ani Tukufu ambazo bado zinatangazwa na vyombo vya habari vya Misri na nje ya Misri.
14:31 , 2026 May 05
14 15