IQNA

Msahafu wa Karne nyingi nchini Thailand, hazina adimu ya Kiislamu nchini humo

Msahafu wa Karne nyingi nchini Thailand, hazina adimu ya Kiislamu nchini humo

IQNA – Haya si maonyesho ya kawaida katika Makumbusho ya Urithi wa Utamaduni wa Kiislamu na Kituo cha Mafunzo ya Al-Quran.
13:46 , 2026 May 09
Mradi wa “Mwalimu wa Qur’ani” wapokelewa vyema Qatar

Mradi wa “Mwalimu wa Qur’ani” wapokelewa vyema Qatar

IQNA – Wiki ya pili ya mradi wa “Mwalimu wa Qur’ani” nchini Qatar imeonekana kuvutia ushiriki mkubwa kutoka kwa wanafunzi, walimu na wazazi.
14:06 , 2026 May 08
Saudi Arabia yazuia walio chini ya umri wa miaka 15 kushiriki Hija

Saudi Arabia yazuia walio chini ya umri wa miaka 15 kushiriki Hija

IQNA-Licha ya kwamba safari za waumini kuelekea Hija zilianza wiki tatu zilizopita, serikali ya Saudi Arabia imepiga marufuku ghafla walio chini ya umri wa miaka 15 kutekeleza ibada ya Hija mwaka huu.
14:02 , 2026 May 08
Maelezo ya mwisho ya Mkutano wa Kiongozi Shahidi na jamii ya Qur’ani + video

Maelezo ya mwisho ya Mkutano wa Kiongozi Shahidi na jamii ya Qur’ani + video

IQNA-Klipu ya video cha mkutano wa mwisho wa Kiongozi Shahidi pamoja na jamii ya Qur’ani Tukufu ya Iran, ambao uliandaliwa katika muundo wa mkusanyiko wa ‘Uns na Qur’an’ mwanzoni mwa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
13:29 , 2026 May 08
Iran itaiendeleza diplomasia lakini italinda haki zake za kitaifa

Iran itaiendeleza diplomasia lakini italinda haki zake za kitaifa

IQNA-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Masoud Pezeshkian, amemwambia mwenzake wa Ufaransa, Emmanuel Macron, kuwa Tehran iko tayari kuendelea kwa dhati kupitia njia za kidiplomasia ili kukomesha vita, huku ikisisitiza umuhimu wa kulindwa kwa haki za taifa la Iran.
13:32 , 2026 May 07
Sherehe ya Kubadilisha Nakala ya Qur’ani Tukufu katika Lango la Qur’ani, Shiraz

Sherehe ya Kubadilisha Nakala ya Qur’ani Tukufu katika Lango la Qur’ani, Shiraz

IQNA – Kwa mnasaba wa Siku ya Shiraz, hafla maalumu ya kubadilisha nakala ya Qur’ani Tukufu katika Lango la Qur’ani la jiji hilo la kusini mwa Iran ilifanyika mnamo Mei 5, 2026, kwa kuhudhuriwa na viongozi waandamizi wa mkoa na wa halmashauri ya jiji.
13:17 , 2026 May 07
Israel yawapiga marufuku wahubiri wa Kiislamu Wapalestina kuingia Msikiti wa Al‑Aqsa

Israel yawapiga marufuku wahubiri wa Kiislamu Wapalestina kuingia Msikiti wa Al‑Aqsa

IQNA – Utawala dhalimu wa Israel umewapiga marufuku wahubiri wawili mashuhuri wa Kiislamu wa Palestina kuingia katika Msikiti wa Al‑Aqsa  jijini Al Quds (Jerusalem) kwa kipindi cha miezi sita.
13:12 , 2026 May 07
Iran yaionya UAE kuhusu kuungana na maadui

Iran yaionya UAE kuhusu kuungana na maadui

IQNA – Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeitaka serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kusitisha kujipanga upande mmoja na kushirikiana na pande zinazoiwekea uadui Jamhuri ya Kiislamu.
12:50 , 2026 May 07
Kijana wa Yemen aliyezingatia nasaha za Qur’ani za baba yake

Kijana wa Yemen aliyezingatia nasaha za Qur’ani za baba yake

IQNA – Katika nyumba ya kawaida na tulivu katika moja ya mitaa ya Sana’a, mji mkuu wa Yemen, ilianza safari ya Bilal Mahdi Al-Sharaabi, kijana wa Yemen ambaye sasa ana umri wa miaka kumi na minne.
13:41 , 2026 May 06
Zaidi ya visa 29,000 za Hija zatolewa kwa Mahujaji wa Iran kwa ushirikiano wa Saudia

Zaidi ya visa 29,000 za Hija zatolewa kwa Mahujaji wa Iran kwa ushirikiano wa Saudia

IQNA – Wakati mchakato wa kuwasafirisha waumini wa Iran kuelekea Saudi Arabia kwa ajili ya kutekeleza ibada ya Hija ukiendelea kushika kasi, idadi kubwa ya visa za Hija kwa waumini hao tayari zimetolewa.
13:33 , 2026 May 06
Qur'ani Tukufu iliyoandikwa kwenye mabamba ya shaba yaonyeshwa katika Makumbusho ya Makkah

Qur'ani Tukufu iliyoandikwa kwenye mabamba ya shaba yaonyeshwa katika Makumbusho ya Makkah

IQNA – Jumba la Makumbusho ya Qur’ani Tukufu huko Makkah linaonyesha nakala ya Qur'ani au Msahafu wa kihistoria kutoka karne ya 12 Hijiria ulioandikwa kwenye mabamba ya shaba.
13:26 , 2026 May 06
Wanafunzi wa Qur’ani Tukufu Brunei Wakabidhiwa Vyeti

Wanafunzi wa Qur’ani Tukufu Brunei Wakabidhiwa Vyeti

IQNA – Hafla ya utoaji vyeti imefanyika katika Msikiti wa Jamia wa ‘Asr Hassanil Bolkiah nchini Brunei kwa wanafunzi wa madarasa ya Qur’ani Tukufu.
13:18 , 2026 May 06
Safari nyepesi kwa mamilioni ya Majujaji: Reli ya Haramain yaongeza viti vya Hija hadi milioni 2.2

Safari nyepesi kwa mamilioni ya Majujaji: Reli ya Haramain yaongeza viti vya Hija hadi milioni 2.2

IQNA – Mahujaji wanaosafiri kati ya Makka na Madina katika msimu wa Hija mwaka huu wanatarajiwa kupata nafasi nyingi zaidi kupitia Reli ya Haramain yenye mwendo wa kasi.
14:54 , 2026 May 05
Mkutano Wajadili Mikakati ya Kuendeleza Mradi wa Kuhifadhi Qur’ani nchini Iraq

Mkutano Wajadili Mikakati ya Kuendeleza Mradi wa Kuhifadhi Qur’ani nchini Iraq

IQNA – Jopo la Kisayansi la Qur’ani Tukufu limefanya mkutano uliowakutanisha walimu wa mradi wa hifdhi ya Qur’ani wa jopo hilo kwa ajili ya kuchunguza mbinu na mikakati ya kuuboresha mradi huo mjini Baghdad, Iraq.
14:47 , 2026 May 05
Umuhimu wa Ayat al‑Kursi katika Qur’ani kwa mujibu wa mwanazuoni wa Misri

Umuhimu wa Ayat al‑Kursi katika Qur’ani kwa mujibu wa mwanazuoni wa Misri

IQNA – Sheikh Khaled Al‑Jandi, mjumbe wa Baraza Kuu la Masuala ya Kiislamu nchini Misri, amesema kuwa, kwa mtazamo wake, Aya ya Kursi (Ayat al‑Kursi) ndiyo aya kuu na tukufu zaidi katika Qur’ani Tukufu, ingawa Qur’ani yote kwa ujumla ni neno la Mwenyezi Mungu.
14:41 , 2026 May 05
13 14 15