IQNA

Umra Baada ya Hija: Mambo muhimu kwa waumini wanaopanga safari

Umra Baada ya Hija: Mambo muhimu kwa waumini wanaopanga safari

IQNA – Waumini wanaopanga safari ya Umra mwaka watalazimika kuzingatia kusimamishwa kwa utoaji wa vibali kwa takribani wiki sita kuanzia katikati ya Aprili hadi mwishoni mwa Mei, huku utoaji wa visa ukitarajiwa kurejea kawaida mara tu Hajj itakapokamilika.
15:38 , 2026 May 12
Nakala Adimu ya ya Qur’ani Tukufu ya kurasa 60 yaonyeshwa Makka

Nakala Adimu ya ya Qur’ani Tukufu ya kurasa 60 yaonyeshwa Makka

IQNA – Msahafu adimu wenye kurasa 60 inaonyeshwa katika Makumbusho ya Qur’an Tukufu yaliyo katika Eneo la Kitamaduni la Hira, mjini Makka.
15:28 , 2026 May 12
Tishio la shambulio kwa Msikiti wa Brisbane laibua malalamiko ya Waislamu duniani

Tishio la shambulio kwa Msikiti wa Brisbane laibua malalamiko ya Waislamu duniani

IQNA – Tishio la mtu mmoja la kufyatua risasi dhidi ya waumini katika msikiti mmoja mjini Brisbane, Australia, limeibua malalmiko duniani kutoa ambapo shirika mashuhuri la haki za kiraia la Waislamu nchini Marekani limetoa tamko rasmi.
15:15 , 2026 May 12
“Siku 500 za Dhulma”: Amnesty International yalaani Israel kwa kuendelea kumzuilia daktari wa Kipalestina

“Siku 500 za Dhulma”: Amnesty International yalaani Israel kwa kuendelea kumzuilia daktari wa Kipalestina

IQNA – Katika kumbukumbu ya tukio lenye kuhuzunisha, shirika la Amnesty International limeilaani vikali utawala wa Israel kwa kuendelea kumshikilia daktari wa Gaza, Dkt. Hussam Abu Safiya.
15:08 , 2026 May 12
Maisha ya Shahidi Imam Khamenei kwa mtazamo wa  Aya ya Qur’ani Tukufu

Maisha ya Shahidi Imam Khamenei kwa mtazamo wa Aya ya Qur’ani Tukufu

IQNA – Msomi mmoja wa Kiislamu kutoka India amesema kuwa shakhsia au haiba maisha ya kiongozi aliyeuawa wa Mapinduzi ya Kiislamu yanaweza kutazamwa kwa kurejelewa katika aya ya Qur’ani.
17:54 , 2026 May 11
Kitengo cha wanawake kuingizwa kwa mara ya kwanza katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Saudia

Kitengo cha wanawake kuingizwa kwa mara ya kwanza katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Saudia

IQNA – Kwa mara ya kwanza katika historia yake, Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu katika Ufalme wa Saudi Arabia yatajumuisha kitengo maalumu cha wanawake.
17:40 , 2026 May 11
Wahifadhi wa Qur’ani Watunukiwa Heshima Katika Hafla Jijini Jeddah

Wahifadhi wa Qur’ani Watunukiwa Heshima Katika Hafla Jijini Jeddah

IQNA – Hafla maalumu ilifanyika mjini Jeddah siku ya Jumapili kuwaenzi wahifadhi wa Qur’ani Tukufu.
17:34 , 2026 May 11
Wizara ya Awqaf ya Misri yasisitiza kusaidia vituo vya kuhifadhi Qur’ani

Wizara ya Awqaf ya Misri yasisitiza kusaidia vituo vya kuhifadhi Qur’ani

IQNA – Wizara ya Awqaf ya Misri imetangaza uungaji mkono wake kamili kwa vituo vya kuhifadhi Qur’ani Tukufu pamoja na kuendeleza programu zake za kielimu na kimaadili.
17:19 , 2026 May 11
Mufti Mkuu wa Oman atoa wito wa Umoja wa Waislamu dhidi ya Wazayuni

Mufti Mkuu wa Oman atoa wito wa Umoja wa Waislamu dhidi ya Wazayuni

IQNA – Mufti Mkuu wa Oman ametoa wito kwa Waislamu kusimama kwa umoja katika kukabiliana na mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika ardhi za Kiislamu.
21:05 , 2026 May 10
Zaidi ya watu 1,600 wasilimu jimboni Selangor, Malaysia katika mwaka mmoja

Zaidi ya watu 1,600 wasilimu jimboni Selangor, Malaysia katika mwaka mmoja

IQNA – Idadi ya watu walioukubali Uislamu katika jimbo la Selangor nchini Malaysia mwaka uliopita imezidi 1,600, kwa mujibu wa Baraza la Masuala ya Kiislamu la Selangor (MAIS).
21:02 , 2026 May 10
Wasio na kibali cha Hija Saudia kukamatwa

Wasio na kibali cha Hija Saudia kukamatwa

IQNA – Huku mamilioni ya Waislamu wakitarajiwa kuhudhuria ibada ya Hija mwaka huu, vikosi vya usalama vya Saudi Arabia vimeimarisha hatua za kukabiliana na watu wanaojaribu kuingia Makkah na maeneo matakatifu bila vibali rasmi vya Hija.
20:55 , 2026 May 10
Maonyesho ya  maandishi ya aya za Qur’ani Tukufu katika  kipande cha shaba  huko Karbala

Maonyesho ya  maandishi ya aya za Qur’ani Tukufu katika  kipande cha shaba  huko Karbala

IQNA – Makumbusho ya Al‑Kafeel katika mji wa Karbala yameweka hadharani kipande cha chuma cha shaba kilichochongwa aya za Qur’ani Tukufu kama sehemu ya mkusanyo wake wa turathi.
20:49 , 2026 May 10
Kuanzia Kuhifadhi Qur'ani utotoni hadi kuisoma ndani ya Kaaba: Safari ya Qur'ani ya Sheikh Tablawi

Kuanzia Kuhifadhi Qur'ani utotoni hadi kuisoma ndani ya Kaaba: Safari ya Qur'ani ya Sheikh Tablawi

IQNA – Sheikh Muhammad Mahmoud Tablawi, mmoja wa maqari mashuhuri na wenye taswira ya kipekee nchini Misri, alifariki dunia miaka sita iliyopita baada ya kutumikia Qur'ani Tukufu kwa zaidi ya miaka sitini.
14:18 , 2026 May 09
Imani Isiyotikisika: Jinsi vituo vya Qur'ani Gaza vinavyostahimili vita katili na uharibifu

Imani Isiyotikisika: Jinsi vituo vya Qur'ani Gaza vinavyostahimili vita katili na uharibifu

IQNA – Kwa zaidi ya miaka miwili sasa, vita vya mauaji ya kimbari vinavyoendeshwa na utawala wa Kizayuni wa Israel vimegeuza mitaa mizima ya mji wa Gaza kuwa magofu ya simenti na vyuma vilivyopinda.
14:02 , 2026 May 09
Mpango wa kujitolea wa kuhudumia Mahujaji katika Msikiti wa Mtume (SAW)

Mpango wa kujitolea wa kuhudumia Mahujaji katika Msikiti wa Mtume (SAW)

IQNA – Wakazi wa Madina – raia na wasiokuwa raia – wanaotamani kupata thawabu ya kuwatumikia wageni wa Mwenyezi Mungu katika msimu wa Hajj mwaka huu sasa wamefunguliwa fursa mpya ya kujitolea.
13:53 , 2026 May 09
12 13 14 15