IQNA

19:25 - May 02, 2021
Habari ID: 3473868
TEHRAN (IQNA)- Haram Takatifu ya Hadhrat Abdul Adhim Hassani (AS) katika eneo la Rey, kusini mwa Tehran imeandaa vikao vya amali katika usiku kwa kwanza wa Laylatul Qadr katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

Usiku wa Laylatul Qadri (Usiku wenye heshima kubwa katika mwezi wa Ramadhani) umetakwa katika Qur’ani Tukufu kuwa bora kuliko miezi elfu. Huu ni usiku ambao Qur’ani Tukufu imeteremshwa.

Amali za usiku huu wenye cheo zimefanyika kwa kuzingatia kanuni za kiafya wakati huu wa janga la corona.

.

Habari zinazohusiana
Kishikizo: qadri ، ramadhani ، qurani tukufu
Jina:
Baruapepe:
* maoni:
* captcha: