IQNA

Msikiti Mkongwe Uturuki ambao hauna paa +Picha

18:37 - June 23, 2021
Habari ID: 3474035
TEHRAN (IQNA)- Kuna msikiti mkongwe nchini Uturuki ambao hauna paa na hivyo mbali na kuwa ni eneo la ibada sasa pia ni kivutio cha utalii.

Msikiti huo uko katika eneo la Caderga baina ya miji ya Gumushane na Trabzon. Msikiti huo una minara miwili mirefu na pia kuta zenye urefu wa mita 1.5 lakini la kushangaza ni kuwa hauna paa. Msikiti huo ulijengwa miaka 560 iliyopita na huwa na mjumuiko mkubwa wa waumini wakati wa Sala ya Ijumaa.

 

 

 

Kishikizo: uturuki
Jina:
Baruapepe:
* maoni:
captcha