IQNA

Mwezi wa Ramadhani

Aya za Kila Siku: Mdhukuruni (mkumbukeni) Mwenyezi Mungu kwa wingi

11:50 - March 26, 2023
Habari ID: 3476762
TEHRAN (IQNA) – Qur’ani Tukufu inawahimiza waumini “kumdhukuru (kumkumbuka na kumtaja) Mwenyezi Mungu mara kwa mara” na kumtukuza, kwa mujibu wa aya ya 41 ya Surah Al-Ahzab.

Daily Verses: ‘Remember Allah Frequently’

captcha