IQNA

Dua za Kila Siku za Mwezi wa Ramadhani- Siku ya 26

7:54 - March 27, 2025
Habari ID: 3480444
Dua hizi za kila siku za Mwezi wa Ramadhani husomwa toka mwanzo ya tarehe mosi Ramadhani hadi siku ya mwisho katika mwezi huu mtukufu. Kila dua ina siku yake, na inaweza kusomwa mara nyingi kadiri ya uwezo wa mtu mwenyewe.

Day 26 of Ramadan: Today’s Special Supplication

Ee Mwenyezi Mungu: Siku hii, (tafadhali) amua juhudi zangu zitukuzwe.

Na kusamehewa dhambi zangu, Na vitendo vyangu vikubaliwe, Na madhaifu yangu yafichwe;

Ewe Mwenye kusikia kuliko wote wanaoweza kusikia.

captcha