Ewe Mwenyezi Mungu; Siku hii, (tafadhali) nitunuku fadhila Laylatul Qadr. Na ubadilishe mambo yangu kutoka kwa shida kuwa wepesi.
Na ukubali ombi langu la msamaha, Na niondolee dhambi zangu na mizigo yangu; Ewe Ambaye ni Mpole kwa waja Wake wema.