IQNA

Kampeni ya Kimataifa ya Qur'ani ya “Fath”: Qari Muirani asoma aya za Sura Aal Imran

15:59 - July 27, 2025
Habari ID: 3481008
IQNA- Mahdi Ghorbanali, qari wa swala ya Ijumaa mjini Tehran, amejiunga na kampeni ya Qur’ani ya IQNA iitwayo “Fath” kwa kusoma aya ya 139 ya Surah Al-Imran.

Kampeni hii, iliyoanzishwa na Shirika la Kimataifa la Habari za Qurani (IQNA), inahamasisha Waislamu kushiriki kwa kusoma aya maalum za Qurani Tukufu – ikiwemo Surah Al-Fath (aya 1–4), Surah An-Nasr, na aya ya 139 ya Surah Al-Imran.

Waandalizi wanasema usomaji huu unalenga kuwa nguvu ya kiroho kwa wapiganaji walioko mstari wa mbele, na pia kukuza ujumbe wa Qurani wa subira, msaada wa Mwenyezi Mungu, na ushindi wa haki juu ya batili.

Tuma usomaji wako kwa WhatsApp kupitia nambari: +989127397608

 

 

 

captcha