Warsaw

IQNA

IQNA – Kituo cha Utamaduni cha Kiislamu katika mji mkuu wa Poland, Warsaw , kimeshuhudia ushiriki mpana wa watu wa dini na tamaduni mbalimbali katika hafla ya “Usiku wa Makumbusho 2026” (Night of Museums 2026).
Habari ID: 3482278    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/24

TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya Kimataifa ya Maulama wa Kiislamu imelaani vikali mkutano wa hivi karibuni baina ya maafisa wa ngazi za juu wa nchi za Kiarabu na Waziri Mkuu wa Utawala wa Kizayuni wa Israel huko Warsaw , Poland.
Habari ID: 3471846    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/02/19