iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA). Sherehe za Mazazi ya Bibi Fatima Zahra SA hivi karibuni zimewaleta pamoja Waislamu na wapenzi wa Ahul Bayt wa Mtume SAW katika katika Markaz Mafaatihul Jinaan, Kiguza, Mkuranga , Pwani nchini Tanzania.
Habari ID: 3471854    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/02/26