iqna

IQNA

maoneysho
Dubai (IQNA) Maonyesho ya kila miaka miwili ya sanaa ya Kaligrafia ya Kiislamu huko Dubai yalianza kazi yake kwa uwepo wa wasanii 200 kutoka nchi za Kiislamu.
Habari ID: 3477691    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/05

Maonyesho mapya yenye jina la Safari Kupitia Maeneo Matukufu yamefunguliwa huko mjini Jeddah, Saudi Arabia. Maonyesho hayo yanaonyesha mkusanyo wa vipande vya kihistoria na vya kisanii vinavyohusiana na Hija, hija ya kila mwaka ya Waislamu kwenda Makka.
Habari ID: 3477139    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/13

TEHRAN (IQNA) – Maonyesho ya 27 ya Kimataifa ya Qur’ani ya Tehran mwaka huu yana mipango 126 ya ubunifu katika sekta ya Qur’ani na hivyo kuyafanya yawe ya kipekee.
Habari ID: 3471954    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/05/13

Maoneysho ya 23 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Tehran yamefunguliwa rasmi Jumatano jioni katika hafla iliyohudhuriwa na Waziri wa Utamaduni wa Muongozo wa Kiislamu Iran, maafisa waandamizi wa baraza la mji wa Tehran na wana wanaharakati katika uga wa Qur'ani.
Habari ID: 3318499    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/25