iqna

IQNA

uwahhabi
TEHRAN (IQNA)- Jeshi la Nigeria limethibitisha habari ya kuangamizwa kinara wa genge la kigaidi la Daeshi au ISIS kaskazini mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3474427    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/15

TEHRAN (IQNA)- Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amedai kuwa jeshi la nchi yake limemuangamiza Adnan Abou Walid al-Sahrawi, kinara wa tawi kundi la kigaidi la ISIS au Daesh Magharibi mwa Afrika (ISWAP).
Habari ID: 3474302    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/16

TEHRAN (IQNA) – Uwekezaji wa Saudi Arabia katika uga wa utamaduni na kidini miongoni mwa jamii za Waislamu umekithiri katika bara la Afrika kwa lengo la kuzuia ushawishi brani humo wa madola makubwa ya Kiislamu kama vile Uturuki na Iran.
Habari ID: 3473522    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/04

TEHRAN (IQNA)-Itikadi ya Uwahhabi imetajwa kuwa chanzo cha ongezeko la ugaidi na chuki dhidi ya Uislamu Nigeria.
Habari ID: 3471240    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/31

Msomi wa Malaysia
TEHRAN (IQNA)-Msomi mmoja nchini Malaysia amesema kuwa tafsiri potovu za Uislamu zimevuruga uthabiti katika nchi hiyo ya kusini mashariki mwa Asia na kuongeza kuwa, chanzo cha tatizo hilo ni walimu waliosoma Uwahabbi unaonezwa na Saudi Arabia.
Habari ID: 3471149    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/30

Waziri wa Masuala ya Dini Tunisia amefutwa kazi, baada ya kusema kuwa, idiolojia ya Uwahhabi ambayo inatawala Saudi Arabia ndiyo chanzo cha ugaidi duniani.
Habari ID: 3470652    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/05

Mufti katika kasri ya ufalme wa Saudia amesisistiza kuwa kusherehekea Maulid ya Mtume Muhammad SAW ni shirki lakini akasema ni wajibu kusherehekea maadhimisho ya kuanza kutawala ukoo wa Aal Saud.
Habari ID: 3470582    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/27

Sayyid Hassan Nasrallah
Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon, Hizbullah, amesema anaitazama itikadi ya misimamo mikali ya Uwahhabi kuwa hatari zaidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3470581    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/27

Serikali ya Bangladesh imeipiga marufuku televisheni ya satalaiti maarufu kama 'Peace TV' inayofungamana na mhubiri wa Kiwahhabi Zakir Naik kwa tuhuma za kuunga mkono misimamo mikali na ugaidi.
Habari ID: 3470446    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/11

Mwanazuoni mwandamizi wa Kiislamu Misri ameonya kuwa itikadi potovu ya Uwahhabi inaenea Misri na hivyo kuhatarisha Uislamu wa wastani nchini humo.
Habari ID: 3470240    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/11

Ayatullah Makarim Shirazi
Ayatullah Naser Makarim Shirazi,mwanazuoni mwandamizi wa Kiislamu mjini Qum nchini Iran amesema kuwa Uwahhabi uko mbali na Uislamu kwani wafuasi wa pote hilo wamepotosha Uislamu.
Habari ID: 3470232    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/07