iqna

IQNA

Thailand
Maonyesho ya Qur'ani
IQNA - Kituo cha Utamaduni cha Iran nchini Thailand kimefanya maonyesho ya Qur'ani katika Kituo cha Kiislamu cha Bangkok.
Habari ID: 3478559    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/23

Qur'ani Tukufu
IQNA - Maonyesho yanayoangazia kazi za sanaa za Qur'ani Tukufu na bidhaa husika kutoka Iran yamezinduliwa katika mji mkuu wa Thailand wa Bangkok.
Habari ID: 3478317    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/07

Milad-un-Nabii (Maulid ya Mtume Muhammad-SAW-)
BANGKOK (IQNA) - Waislamu katika Pattani, mji ulioko kusini mwa Thailand , walifanya "Matembezi ya Mahaba kwa Mtukufu Mtume Muhammad (SAW)" siku ya Jumapili.
Habari ID: 3477652    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/25

Waislamu wa Thailand
TEHRAN (IQNA) - Thailand imemteua gavana wa kwanza mwanamke Mwislamu katika jimbo la kusini la Pattani katika kitendo ambacho waangalizi wanaamini kinaweza kusaidia kumaliza migogoro.
Habari ID: 3476104    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/17

TEHRAN (IQNA) - Ofisi ya Sheikul Islam (SIO) nchini Thailand imeidhinisha kuanza kwa ibada kwenye misikiti katika jamii ambazo angalau 70% ya idadi ya watu wenye umri wa miaka 18 au zaidi wamepewa chanjo dhidi ya COVID-19.
Habari ID: 3474269    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/07

TEHRAN (IQNA) - Watu 26 wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa nchini Thailand baada ya kupigwa risasi kiholela na mwanajeshi mmoja wa nchi hiyo katika mji wa Nakhon Ratchasima.
Habari ID: 3472454    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/09

TEHRAN (IQNA) – Wanajeshi wawili nchini Thailand ambao waliwapiga risasi na kuwaua Waislamu watatu kusini mwa nchi hiyo wamekamatwa na kufikishwa kizimbani.
Habari ID: 3472306    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/26

Licha ya duru za kimataifa kutoa onyo kali lakini mamlaka za Thailand zinaendelea kuwanyanyasa Waislamu ikiwa ni pamoja na kuwapiga marufuku wanafunzi wa kike kuvaa vazi la staha la Hijabu.
Habari ID: 3217763    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/04/27