iqna

IQNA

Wakimbizi
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Wapalestina wasiopungua 400, wengi wao wakiwa ni wanawake na watoto, wamethibitishwa kuuawa na kujeruhiwa baada ya mashambulizi ya anga ya utawala katili wa Israel dhidi ya wakimbizi ya Jabaliya katika Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 3477823    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/01

Vita vya Sudan vimeingia mwezi wa tatu Alkhamisi iliyopita wakati idadi ya vifo ikipindukia 2,000 na baada ya gavana wa jimbo hilo kuuawa katika jimbo la Darfur.
Habari ID: 3477145    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/17

Waislamu Afrika
TEHRAN (IQNA)- Idadi kubwa ya Waislamu waliyoyakimbia makazi yao katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kutokana na ghasia na machafuko, wanataabika na kuteseka katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3476791    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/31

Mashindano ya Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) - Hatua ya awali ya mashindano ya Qur'ani Tukufu kwa ajili ya wakimbizi wa Afghanistan wanaoishi nchini Iran ilifanyika katika mji mtakatifu wa wa Qom nchini Iran ambapo kulikuwa na washiriki 370.
Habari ID: 3476574    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/17

TEHRAN (IQNA) – Baraza la Fatwa la Syria limetangaza kuwa ni haramu kwa mujibu wa sheria za Kiislamu kwa Wasyria kuhatarisha maisha na mali zao kwenda Ulaya.
Habari ID: 3476083    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/13

Waislamu duniani
TEHRAN (IQNA) – Mfuko wa Kimataifa wa Kiislamu kwa Wakimbizi (GIFR) umezinduliwa ili kutoa rasilimali za kifedha za kibunifu ili kusaidia usaidizi wa kimaendeleo na wa kibinadamu kwa mizozo ya watu waliokimbia makazi yao.
Habari ID: 3475831    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/24

TEHRAN (IQNA) - Rais Bashar al Assad wa Syria amesema Marekani na baadhi ya nchi za Magharibi zinawazuia wakimbizi wa Syria wasirudi nchini kwao.
Habari ID: 3473351    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/11

TEHRAN (IQNA) - Mamilioni ya wakimbizi wa Syria ambao walilazimika kutoroka nchi yao kutokana na vita sasa wanapaswa kuwezeshwa kurejea nyumbani kuijenga nchi yao ambayo aghalabu ya maeneo yako sasa yanashuhudia amani.
Habari ID: 3473345    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/09

TEHRAN (IQNA) – Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amenukulu aya ya Qur'ani Tukufu kuhusu wakimbizi na akazipongeza Iran na Pakistan kutokana na ukarimu wao katika kuwapa hifadhi wakimbizi wa Afghanistan.
Habari ID: 3472482    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/18

Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa Nickolay Mladenov Mashariki ya Kati amesema kunahitajika muungano wa kimatiafa wa kijeshi ili kuangamiza kundi la kigaidi la ISIS au Daesh.
Habari ID: 3363344    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/16

Sheikh Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al Azhar nchini Misri amesema kufa maji mtoto mkimbizi wa miaka mitatu kutoka Syria katika ufukwe wa Bahari nchini Uturuki ni aibu kwa jamii ya mwanadamu.
Habari ID: 3358323    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/05

Slovakia imetangaza kuwa itawakubali tu wahajiri Wakristo wakati wa kuwachukua wakimbizi kutoka Syria.
Habari ID: 3350005    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/22

Wakimbizi Wapalestina walio katika nchi mbali mbali duniani wanakabiliwa na matatizo makubwa sana. Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limetoa onyo kuhusu hali mbaya sana ya wakimbizi Wapalestina.
Habari ID: 3023920    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/03/22

Hali ya usalama katika mji mkuu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Bangui, inazidi kuwa mbaya huku vitendo vya mauaji dhidi ya Waislamu vikiendelea kuripotiwa.
Habari ID: 1398695    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/04/22