TEHRAN (IQNA) – Misikiti ya London Mashariki nchini Uingereza imeanza kuadhini kupitia vipaza sauti katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ili kuwasaidia Waislamu wajihisi kufungamana na misikiti ambayo imefungwa kwa muda kuzuia kuenea ugonjwa wa COVID-19 .
Habari ID: 3472752 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/10
TEHRAN (IQNA) – Misikiti nchini Ujerumani imefunguliwa Jumamosi baada ya kufungwa kwa muda wa miezi miwili kutokana na janga la ugonjwa wa COVID-19 au corona.
Habari ID: 3472751 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/10
TEHRAN (IQNA) – Taasisi ya Kiislamu ya Dar Al-Hijrah ya Virginia nchini Marekani inagawa chakula kwa wanaohitajia katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3472747 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/08
TEHRAN (IQNA) – Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema janga la COVID-19 au corona limeibua 'tsunami ya chuki' na hivyo ametoa wito wa kusitishwa matamshi yaliyojaa chuki duniani.
Habari ID: 3472746 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/08
TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameweka bayana dhimira ya Umoja wa Mataifa ya kutaka kuvishinda vita dhidi ya janga la virusi vya corona au COVID-19 kwa kujikita na mambo matatu muhimu ambayo ni kufikia usitishwaji wa uhasama kimataifa, kuwasaidia wale wasiojiweza na kujiandaa kujikwamua kiuchumi na kijamii kutoka kwenye janga hili.
Habari ID: 3472723 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/01
TEHRAN (IQNA) –Nchini Yemen kumeripotiwa kesi kadhaa za ugonjwa wa COVID-19 au corona Jumatano huku Umoja wa Mataifa ukibainisha wasiwasi wake kuwa ugonjwa huo yamkini unaenea katika nchi hiyo bila kujulikana huku mamilioni wakikabiliwa na njaa na ukosefu wa huduma za afya.
Habari ID: 3472718 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/30
TEHRAN (IQNA)- Maelfu ya watu nchini Marekani wamepoteza maisha wiki hii kutokanga na ugonjwa wa corona au COVID-19 huku Misri ikiitumia nchi hiyo misaada kukabiliana na janga hilo.
Habari ID: 3472693 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/22
Rais Hassan Rouhani
TEHRAN (IQNA)- Rais Hassan Rouhani wa Iran ametangaza mipango na mikakati mipya ya kudhibiti maambukizi ya kirusi cha corona hapa nchini ndani ya wiki mbili zijazo.
Habari ID: 3472604 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/26