iqna

IQNA

COVID-19
Maambukizi ya Covid-19
TEHRAN (IQNA) - Uvaaji wa barakoa ndani ya misikiti itakuwa ya lazima nchini Qatar kuanzia Alhamisi.
Habari ID: 3475470    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/07

TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Wakfu nchini Misri imetangaza kuwa darsa za kuhifadhi Qur'ani ndani ya misikiti kwa kuhudhuria ana kwa ana waalimu na wanafunzi zitaanza tena kote katika nchi hiyo.
Habari ID: 3474496    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/31

TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu nchini Qatar imefuta kanuni ya kutokaribiana na kutogusana (social distancing) misikitini wakati wa Sala sambamba na kufungua tena maeneo ya kutawadha.
Habari ID: 3474390    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/06

TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika kikao cha Kamati ya Kitaifa ya Kupambana na Corona kwamba tayari ameidhinisha kununua dozi milioni 30 za chanjo ya COVID-19 .
Habari ID: 3474190    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/14

TEHRAN (IQNA)- Kituo cha Kiislamu ya Al Azhar kwa mara nyingine imesisitiza kuhusu Fatwa yake ya awali kuwa kudungwa chanjo ya COVID-19 au corona hakubatilishi Saumu ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3473791    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/07

TEHRAN (IQNA)- Sala ya Tarawih imepigwa marufuku nchini Oman kwa lengo la kuzuia kuenea ugonjwa wa COVID-19 au corona huku sheria ya kutotoka nje usiku ikitekelezwa katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3473785    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/05

TEHRAN (IQNA) – Januari 27 2017 ni siku ambayo Waislamu Wamarekani hawataishau. Katika siku hiyo, Rais Donald Trump wa Marekani alitia saini dikrii ya kuwapiga marufuku Waislamu nchini humo.
Habari ID: 3473503    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/29

TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya 22 ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu nchini Saudi Arabia yatafanyika katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani katika siku zitakazosadifiana na Aprili 2021.
Habari ID: 3473465    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/17

TEHRAN (IQNA) – Nakala milioni 2.2. za Qur’ani Tukufu zimechapishwa nchini Iran katika kipindi cha miezi tisa iliyopita.
Habari ID: 3473461    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/16

TEHRAN (IQNA) – Baraza la Kiislamu Singapore (Muis) limetoa wito kwa Waislamu nchini humo kukubali chanjo ya COVID-19 wakati itakapopatikana na itakapopati idhini ya idara husika za afya kuwa ni salama kutumia.
Habari ID: 3473455    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/14

TEHRAN (IQNA) – Misikiti 487 katika eneo la Sharjah nchini Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) itaruhusiwa tena kuwa na swala za Ijumaa kuanzia Disemba 4.
Habari ID: 3473394    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/25

TEHRAN (IQNA) – Waislamu kote Scotland nchini Uingereza wameshiriki katika Swala ya Ijumaa wameshiriki katika Swala ya Ijumaa kwa mara ya kwanza baada ya miezi kadhaa baada ya misikiti kufunguwa ili kuzuia kuenea ugonjwa wa corona.
Habari ID: 3472975    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/18

TEHRAN (IQNA) – Serikali ya Kenya imetangaza kuwa maeneo ya ibada yatafunguliwa tena nchini humo lakini kwa sharti la kuzingatia kanuni na sheria maalumu za kuzuia kuenea ugonjwa wa COVID-19 au corona.
Habari ID: 3472938    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/07

Darul Iftaa ya Jordan
TEHRAN (IQNA) – Darul Iftaa ya Jordan imetoa fatwa inayowapiga marufuku wagonjwa wa COVID-19 au corona kushiriki katika swala za jamaa.
Habari ID: 3472932    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/05

TEHRAN (IQNA) – Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema ni jukumu la kidini kwa kila mtu kutangaza iwapo ameambukizwa kirusi cha corona ( COVID-19 ) ili kuzuia maambukizi kwa wengine.
Habari ID: 3472929    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/04

TEHRAN (IQNA)- Waziri Mkuu wa Algeria amekataa kuafiki mapendekezo ya kufungua misikiti nchini humo kutokana na hofu ya kuenea ugonjwa wa COVID-19 au corona nchini humo.
Habari ID: 3472918    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/01

TEHRAN (IQNA) –Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) umetangaza kufungua misikiti kuanzia Julai Mosi baada ya kufungwa miezi mitatu ili kuzuia kuenea ugonjwa wa COVID-19 au corona.
Habari ID: 3472915    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/30

TEHRAN (IQNA) – Rais Ibrahim Mohamad Solih wa Malidivi misikiti itafunguliwa tena kuanzia Julai Mosi kwa ajili ya Swala za jamaa katika mji mkuu wa nchi hiyo, Male.
Habari ID: 3472913    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/30

TEHRAN (IQNA) – Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani amepongeza uamuzi wa Saudi Arabia wa kupunguza kabisa idadi ya mahujaji na kuwazuia mahujaji wa kimataifa kuingia nchini humo.
Habari ID: 3472897    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/25

TEHRAN (IQNA) – Misikiti zaidi itafunguliwa Mayalsia kwa ajili ya swala ya Ijumaa na watakashiriki katika swala watatakiwa kuzingatia sheria za kuzuia maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 au corona.
Habari ID: 3472876    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/18