iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA) – Misikiti yote katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) itaendelea kufungwa kwa mauda usiojulikana ili kuzuia kuenea ugonjwa wa COVID-19 au corona.
Habari ID: 3472651    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/10