iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Shekhe Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al Azhar nchini Misri amesema chimbuko la dini za mbinguni ni moja na wanadamu wote wana udugu.
Habari ID: 3474770    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/05

TEHRAN (IQNA)- Wasomaji Qur'ani Sayyid Mustafa Husseini na Sayyid Jasim Mousavi wamesambaza klipu inayonyesha wakiwa wanasoma aya za Sura Ad Dhuha kwa pamoja kwa mtindo wa qarii mashuhuri wa Misri marhum Sheikh Mohammad Siddiq El Minshawi.
Habari ID: 3474768    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/05

TEHRAN (IQNA)- Wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Al Azhar wamebainisha wasiwasi wao kuhusu pendekelezo la Bunge la Senate la Misri la kuandikwa 'Tafsiri ya Kisasa' ya Qur'ani.
Habari ID: 3474764    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/04

TEHRAN (IQNA)- Roa'a al Sayyed, msichana mwenye umri wa miaka 11 aliye naulemavuu wa macho nchini Misri amefanikiwa kuhifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu kwa muda wa miezi 18.
Habari ID: 3474744    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/30

TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya Wasomaji Qur'ani Tukufu Misri imeitisha mkutano hivi karibuni ambapo imeamuliwa kuwa wananchama wote wapya wanapaswa kuwa wamehifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu.
Habari ID: 3474742    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/30

Habari ID: 3474711    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/23

TEHRAN (IQNA)- Kamati ya Kidini katika Bunge la Misri limeanza kujadili pendekezo la kuandika tafsiri mpya ya Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3474707    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/22

Mufti wa Misri
TEHRAN (IQNA)- Mufti Mkuu wa Misri amesema Fatwa nyingi ambazo hutolewa na wale wenye misimamo mikali nay a kufurutu ada na ambazo huharibu sura ya Uislamu halisi hutokana na ufahamu mbovu wa Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3474696    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/19

TEHRAN (IQNA)- Wakuu wa Jimbo la Port Said nchini Misri wametangaza mpango wa kuandaa Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Port Said mwakani.
Habari ID: 3474685    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/17

TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Wakfu Misri imetangaza washindi wa Mashindano ya 28 ya Kimataifa ya Qur’ani yaliyofanyika wiki hii mjini Cairo.
Habari ID: 3474681    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/16

TEHRAN (IQNA)- Rais Abdul Fattah el-Sisi wa Misri ametaka kipaumbele maalumu kipewe kwa tafsiri na ufahamu wa Qur’ani katika mashindano ya kimataifa ya Qur’ani nchini humo.
Habari ID: 3474676    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/15

TEHRAN (IQNA)- Sheikh Taha la Fashni alikuwa qarii mashuhuri wa Qur'ani Tukufu na alikuwa pia ni mfuasi wa qiraa ya Sheikh Mustafa Ismail.
Habari ID: 3474672    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/14

Leo katika historia
TEHRAN (IQNA)- atika siku kama ya leo miaka 33 iliyopita, aliaga dunia katika mji wa Cairo Misri, Sheikh Abdul-Basit Abdul-Samad, mmoja wa waalimu na maqarii wakubwa wa Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3474621    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/30

TEHRAN (IQNA)- Taha Ezzat ni kijana mwenye umri wa miaka 17 kutoka mkoa wa El Beheira Misri na amepata umashuhuri Misri na duniania kutokana na qiraa yake ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3474594    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/23

TEHRAN (IQNA) –Waislamu kote nchini Misri wameshiriki katika Sala ya Istisqa yaani Sala ya Kuomba Mvua.
Habari ID: 3474589    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/22

TEHRAN (IQNA)- Vituo vya kuwafunza waalimu wa Qur'ani nchini Misri vinatazamiwa kuanza tena shughuli zao baada ya kufungwa kwa mwaka moja.
Habari ID: 3474579    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/19

TEHRAN (IQNA)- Televisheni moja ya Misri inayorusha matangazo kwa njia ya sataliti ina kipindi maalumu ambacho kinajumuisha qiraa ya Qur'ani tukufu ya wasomoaji kutoka nchi mbali mbali.
Habari ID: 3474532    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/09

TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Wakfu ya Misri imetangaza Ijumaa kuwa masanduku ya misaada ni marufuku katika misikiti kote Misri.
Habari ID: 3474529    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/08

TEHRAN (IQNA)- Msikiti wa Kituo cha Kiislamu cha Al Azhar umeanza tena vdarsa za Qur'ani za kuhudhuria ana kwa ana baada ya marufuku yam waka moja na nusu kutokana na janga la COVID-19.
Habari ID: 3474513    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/04

TEHRAN (IQNA)-Taasisi ya Darul Iftaa ya Misri imesema kuchapisha aya za Qur'ani Tukufu kwenye noti na sarafu ni Makruh.
Habari ID: 3474503    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/02