Wasomaji Maarufu wa Qur'ani Tukufu /21
TEHRAN (IQNA) – Ustadh Taha al-Fashni alikuwa qari maarufu wa Qur'ani Tukufu na msomaji Ibtihal nchinia Misri ambaye alikuwa na wafuasi wengi sio tu miongoni mwa Waislamu bali pia wasio Waislamu.
Habari ID: 3476452 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/23
Harakati za Qur'ani Misri
TEHRAN (IQNA) – Matokeo ya hatua ya awali ya mashindano ya nchi nzima ya Qur'ani Tukufu Misri yanayoendeshwa na Al-Azhar Islamic Center yametangazwa.
Habari ID: 3476437 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/20
Harakati za Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) - Wizara ya Wakfu ya Misri imezindua mipango ya kuandaa mashindano ya kitamaduni mtandaoni kwa wanafunzi wa vituo vya kuhifadhi Qur'ani Tukufu nchini humo.
Habari ID: 3476423 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/18
Qarii (msomaji) Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) - Sheikh Abdel Alim Fasada alikuwa miongoni mwa wasomaji wakubwa wa Qur'ani Tukufu nchini Misri na alifariki Januari 16, 2021 baada ya miaka mingi ya kujitahidi katika njia ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3476422 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/18
Taazia
TEHRAN (IQNA) – Khaled Abdul Basit Abdul Samad, mtoto wa marehemu qari maarufu wa Misri Ustadh Abdul Basit Abdul Samad alifariki siku ya Jumatatu.
Habari ID: 3476392 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/12
Harakati za Qur'ani Misri
TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Wakfu ya Misri imesema imetayarisha programu mbalimbali za Qur’ani Tukufu na za kidini kwa ajili ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3476388 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/11
Mashindano ya Qur'ani Misri
TEHRAN (IQNA) – Hafla ilifanyika jimboni Asyut, Misri, ambapo wanafunzi 140 ambao wameshinda mataji katika mashindano ya Qur'ani katika jimbo hilo walitunukiwa zawadi kutokana na mafanikio yao.
Habari ID: 3476336 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/31
Shughuli za Qur'ani Tukufu Misri
TEHRAN (IQNA) - Wizara ya Wakfu ya Misri katika ripoti iliangazia shughuli zake mwaka 2022, na kusema kuandaa mashindano ya kitaifa na ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu kuwa miongoni mwa kazi muhimu zaidi ilizofanya.
Habari ID: 3476329 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/30
Wasomaji Maarufu wa Qur'ani Tukufu /17
TEHRAN (IQNA) –Ustadh Abulainain Shuaisha alijulikana kama Sheikh ul-Qurra (kiongozi wa wasomaji Qur’ani) wa Misri. Alikuwa msomaji mashuhuri wa Qur’ani na mtu wa mwisho kutoka katika ‘kizazi cha dhahabu’ cha wasomaji Qur’ani wa nchi hiyo ya Kiarabu.
Habari ID: 3476295 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/24
Shughuli za Qur'ani Misri
TEHRAN (IQNA) – Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri kimetangaza kuwa vituo 538 vya watoto vimezinduliwa hivi karibuni.
Habari ID: 3476277 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/20
Harakati za Qur’ani Misri
TEHRAN (IQNA) - Wizara ya Wakfu ya Misri imesema imeshaandaa vikao vya kufunza Qur'ani Tukufu maalumu kwa watoto katika zaidi ya misikiti 6,000 kote Misri.
Habari ID: 3476257 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/16
Harakati za Qur'ani Misri
TEHRAN (IQNA) – Hajj Hassan Juneidi ni mwanamume wa Misri ambaye, pamoja na mkewe, wameanzisha kituo cha kutoa misaada kwa ajili ya kufundisha Qur’ani kwa watoto wenye ulemavu wa macho.
Habari ID: 3476200 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/05
Harakati za Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) - Mamia ya watu walihudhuria mazishi ya Sheikh Mohamed Mahmoud al-Qadim, mwalimu na hafidh wa Qur'ani mzee zaidi katika Mkoa wa Gharbia nchini Misri
Habari ID: 3476174 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/30
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Wizara ya Wakfu ya Misri imesema inazindua mashindano ya walimu wa Qur'ani nchini humo.
Habari ID: 3476170 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/29
TEHRAN (IQNA) – Kongamano la mazungumzo ya dini mbalimbali lilifanyika nchini Bahrain mapema mwezi huu na lilihudhuriwa na Kiongozi wa Kanisa Katoloki Papa Francis na Sheikh Mkuu wa Kituo cha Kiislamu Al-Azhar cha Misri Sheikh Ahmed el-Tayeb.
Habari ID: 3476161 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/28
Harakati za Qur'ani Misri
TEHRAN (IQNA) - Baadhi ya maqarii au wasomaji maarufu zaidi wa Qur'ani Tukufu walihudhuria sherehe za uzinduzi wa msikiti katika Jimbo la Qalyubia nchini Misri.
Habari ID: 3476151 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/26
Harakati ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Kazi ya kutayarisha tarjuma ya Qur'ani Tukufu kwa lugha ya Kiebrania inaendelea nchini Misri, huku tafsiri ya Juzuu (sehemu) 20 ikiwa tayari imekamilika.
Habari ID: 3476130 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/22
Wasomaji maarufu wa Qur'ani Tukufu / 10
TEHRAN (IQNA) - Misri imeweza kuibua wasomaji wengi mashuhuri wa Qur’ani ambao wamevuma katika ulimwengu wa Kiislamu. Mmoja wao ni Sheikh Muhammad Abdul Aziz Hassan, qari ambaye aliweza kuingiza mitindo ya zamani na ya kisasa na kuunda mtindo wake wa qiraa ya Qur'ani Tukufu kusoma.
Habari ID: 3476105 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/17
Usomaji Qur'ani au Qiraa
TEHRAN (IQNA)- Sheikh Kamil Yusuf al Bahtimi ni moja kati ya wasomaji maarufu wa Qur'ani Tukufu nchini Misri.
Habari ID: 3476084 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/13
Usomaji Qur'ani (Qiraa)
TEHRAN (IQNA) - Kanda za video zimesambazwa hivi karibuni kwenye mitandao ya kijamii zikionyesha usomaji wa aya za Qur'ani Tukufu wa marehemu Sheikh Mustafa Ismail aliyekuwa qarii bingwa wa Qur'ani Tukufu wa Misri
Habari ID: 3476046 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/06