misri - Ukurasa 11

IQNA

Wanawake katika Uislamu
TEHRAN (IQNA) – Hajar Sa’eddin aliongoza Idhaa ya Qur’ani ya Misri kwa muda wa miezi 7. Alikuwa mwanamke wa kwanza kushika nafasi hiyo.
Habari ID: 3476569   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/16

Mwezi wa Ramadhanii
TEHRAN (IQNA) - Wizara ya Wakfu ya Misri imezindua kampeni ya kusafisha misikiti nchini humo kabla ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3476560   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/14

Harakati za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri kinatarajia kufanya warsha maalum wiki ijayo kwa waamuzi au majaji katika mashindano ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3476534   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/08

Mashindano ya Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) - Washindi wa Mashindano ya 29 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu nchini Misri walitangazwa na jopo la waamuzi.
Habari ID: 3476533   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/08

Mashindano ya Qur'ani Misri
TEHRAN (IQNA) - Toleo la 29 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Misri yalianza katika sherehe katika mji mkuu Cairo siku ya Jumamosi.
Habari ID: 3476516   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/05

Wasomaji Maarufu wa Qur'ani Tukufu /25
TEHRAN (IQNA) – Abdulaziz Ali Faraj alikuwa qari wa Kimisri ambaye aliishi zama za Ustadh Abdul Basit Abdul Samad.
Habari ID: 3476514   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/05

Qur'ani Tukufu katika maisha
TEHRAN (IQNA)-Watumizi wa mitandao ya kijamii wanaendelea kusambaza video ya sherehe ya harusi ya wanandoa wa Misri, ambayo ilianza kwa bwana harusi mwenye ulemavu wa macho akisoma aya katika Sura Rum ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3476506   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/02

Maonyesho ya Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) - Banda la Wizara ya Masuala ya Kiislamu ya Saudi Arabia lilikabidhi nakala 30,000 za Qur'ani Tukufu miongoni mwa wageni katika Maonesho ya Kimataifa ya Vitabu ya Cairo.
Habari ID: 3476504   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/02

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Waziri wa Wakfu wa Misri amesema wawakilishi wa nchi 58 watashiriki katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya nchi hiyo.
Habari ID: 3476481   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/29

Wasomaji Maarufu wa Qur'ani Tukufu /21
TEHRAN (IQNA) – Abdel Aziz Akasha alikuwa qari wa Misri ambaye alipata umaarufu baada ya kuanzisha mtindo maalum katika usomaji wa Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3476457   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/24

Wasomaji Maarufu wa Qur'ani Tukufu /21
TEHRAN (IQNA) – Ustadh Taha al-Fashni alikuwa qari maarufu wa Qur'ani Tukufu na msomaji Ibtihal nchinia Misri ambaye alikuwa na wafuasi wengi sio tu miongoni mwa Waislamu bali pia wasio Waislamu.
Habari ID: 3476452   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/23

Harakati za Qur'ani Misri
TEHRAN (IQNA) – Matokeo ya hatua ya awali ya mashindano ya nchi nzima ya Qur'ani Tukufu Misri yanayoendeshwa na Al-Azhar Islamic Center yametangazwa.
Habari ID: 3476437   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/20

Harakati za Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) - Wizara ya Wakfu ya Misri imezindua mipango ya kuandaa mashindano ya kitamaduni mtandaoni kwa wanafunzi wa vituo vya kuhifadhi Qur'ani Tukufu nchini humo.
Habari ID: 3476423   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/18

Qarii (msomaji) Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) - Sheikh Abdel Alim Fasada alikuwa miongoni mwa wasomaji wakubwa wa Qur'ani Tukufu nchini Misri na alifariki Januari 16, 2021 baada ya miaka mingi ya kujitahidi katika njia ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3476422   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/18

Taazia
TEHRAN (IQNA) – Khaled Abdul Basit Abdul Samad, mtoto wa marehemu qari maarufu wa Misri Ustadh Abdul Basit Abdul Samad alifariki siku ya Jumatatu.
Habari ID: 3476392   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/12

Harakati za Qur'ani Misri
TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Wakfu ya Misri imesema imetayarisha programu mbalimbali za Qur’ani Tukufu na za kidini kwa ajili ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3476388   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/11

Mashindano ya Qur'ani Misri
TEHRAN (IQNA) – Hafla ilifanyika jimboni Asyut, Misri, ambapo wanafunzi 140 ambao wameshinda mataji katika mashindano ya Qur'ani katika jimbo hilo walitunukiwa zawadi kutokana na mafanikio yao.
Habari ID: 3476336   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/31

Shughuli za Qur'ani Tukufu Misri
TEHRAN (IQNA) - Wizara ya Wakfu ya Misri katika ripoti iliangazia shughuli zake mwaka 2022, na kusema kuandaa mashindano ya kitaifa na ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu kuwa miongoni mwa kazi muhimu zaidi ilizofanya.
Habari ID: 3476329   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/30

Wasomaji Maarufu wa Qur'ani Tukufu /17
TEHRAN (IQNA) –Ustadh Abulainain Shuaisha alijulikana kama Sheikh ul-Qurra (kiongozi wa wasomaji Qur’ani) wa Misri. Alikuwa msomaji mashuhuri wa Qur’ani na mtu wa mwisho kutoka katika ‘kizazi cha dhahabu’ cha wasomaji Qur’ani wa nchi hiyo ya Kiarabu.
Habari ID: 3476295   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/24

Shughuli za Qur'ani Misri
TEHRAN (IQNA) – Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri kimetangaza kuwa vituo 538 vya watoto vimezinduliwa hivi karibuni.
Habari ID: 3476277   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/20