Qurani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Mohammed na Iman ni kaka na dada wa Ki misri ambao umahiri wao katika usomaji wa Ibtihal umewapatia umaarufu nchini humo.
Habari ID: 3476977 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/08
Misri
TEHRAN (IQNA) - Wizara ya Wakfu ya ya Misri imesema mpango wa kutoa mafunzo kwa wahifadhi Qur'ani watoto milioni moja utazinduliwa nchini humo.
Habari ID: 3476913 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/25
Harakati za Qur'ani Misri
TEHRAN (IQNA) - Wanaharakati, wanasiasa na wasikilizaji nchini Misri wametoa wito wa kupigwa marufuku matangazo ya biashara kwenye Idhaa au Redio ya Qur'ani ya nchi hiyo.
Habari ID: 3476748 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/23
TEHRAN (IQNA) - Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas ilionyesha upinzani dhidi ya ushiriki wa makundi ya Wapalestina katika mkutano uliopangwa kufanyika huko Sharm El-Sheikh wa Misri unaodaiwa kuwa na lengo la kupunguza hali ya wasiwasi katika maeneo ya Palestina yanayokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3476731 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/19
Wasomaji Maarufu wa Qur'ani Tukufu /29
TEHRAN (IQNA) - Kunaweza kuwa na makari wachache sana kama Sheikh Shaban Abdul Aziz Sayyad katika suala la ufasaha, uwezo wa sauti, na kufahamiana na Sawt, Lahn na Maqamat ya Qur'ani.
Habari ID: 3476695 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/12
Msomi wa Misri
TEHRAN (IQNA) –Mhadhiri wa chuo kikuu kutoka Misri anasema mafanikio ya wanawake wa Kiislamu katika nyanja tofauti yanasambaratisha "simulizi potofu" na "fikra potofu" kuhusu Uislamu na Waislamu.
Habari ID: 3476680 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/08
Qurani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Sherehe ilifanyika katika mji wa Giza, Misri, kwa ajili ya kuwaenzi wasichana ambao wamejifunza Qur’ani Tukufu kwa moyo kikamilifu.
Habari ID: 3476677 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/08
Mwezi wa Ramadhani
TEHRAN (IQNA) - Waziri wa Wakfu nchini Misri Sheikh Muhammad Mukhtar Jumaa alisema misikiti nchini humo iko tayari kuwapokea waumini ajili ya Sala za kila siku na ibada nyinginezo katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3476668 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/06
Harakati za Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Muda wa mwisho wa kushiriki katika mashindano ya kimataifa ya 'Miujiza ya Qur'ani na Sunnah' umeongezwa kwa miezi miwili, kwa mujibu wa waandaaji.
Habari ID: 3476646 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/02
Harakati za Qur'ani Misri
TEHRAN (IQNA)-Wizara ya Wakfu ya Misri imesema imeanzisha shirika la kusimamia wasomi maarufu wa Qur'ani na wale wenye vipaji vya Qur'ani katika nchi hiyo ya Kiarabu.
Habari ID: 3476593 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/20
Wanawake katika Uislamu
TEHRAN (IQNA) – Hajar Sa’eddin aliongoza Idhaa ya Qur’ani ya Misri kwa muda wa miezi 7. Alikuwa mwanamke wa kwanza kushika nafasi hiyo.
Habari ID: 3476569 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/16
Mwezi wa Ramadhanii
TEHRAN (IQNA) - Wizara ya Wakfu ya Misri imezindua kampeni ya kusafisha misikiti nchini humo kabla ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3476560 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/14
Harakati za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri kinatarajia kufanya warsha maalum wiki ijayo kwa waamuzi au majaji katika mashindano ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3476534 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/08
Mashindano ya Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) - Washindi wa Mashindano ya 29 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu nchini Misri walitangazwa na jopo la waamuzi.
Habari ID: 3476533 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/08
Mashindano ya Qur'ani Misri
TEHRAN (IQNA) - Toleo la 29 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Misri yalianza katika sherehe katika mji mkuu Cairo siku ya Jumamosi.
Habari ID: 3476516 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/05
Wasomaji Maarufu wa Qur'ani Tukufu /25
TEHRAN (IQNA) – Abdulaziz Ali Faraj alikuwa qari wa Ki misri ambaye aliishi zama za Ustadh Abdul Basit Abdul Samad.
Habari ID: 3476514 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/05
Qur'ani Tukufu katika maisha
TEHRAN (IQNA)-Watumizi wa mitandao ya kijamii wanaendelea kusambaza video ya sherehe ya harusi ya wanandoa wa Misri, ambayo ilianza kwa bwana harusi mwenye ulemavu wa macho akisoma aya katika Sura Rum ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3476506 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/02
Maonyesho ya Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) - Banda la Wizara ya Masuala ya Kiislamu ya Saudi Arabia lilikabidhi nakala 30,000 za Qur'ani Tukufu miongoni mwa wageni katika Maonesho ya Kimataifa ya Vitabu ya Cairo.
Habari ID: 3476504 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/02
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Waziri wa Wakfu wa Misri amesema wawakilishi wa nchi 58 watashiriki katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya nchi hiyo.
Habari ID: 3476481 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/29
Wasomaji Maarufu wa Qur'ani Tukufu /21
TEHRAN (IQNA) – Abdel Aziz Akasha alikuwa qari wa Misri ambaye alipata umaarufu baada ya kuanzisha mtindo maalum katika usomaji wa Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3476457 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/24