iqna

IQNA

misri
TEHRAN (IQNA)- Jeshi la Misri lilisema Jumapili limewaua watu 89 wanaoshukiwa kuwa waasi katika operesheni Kaskazini mwa Sinai, mkoa ambao kundi la kigaidi linalofungamana na kundi la kigaidi la Daesh limekuwa likitekeleza hujuma.
Habari ID: 3474147    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/01

TEHRAN (IQNA)- Qarii au msomaji wa Qur’ani Tukufu nchini Misri amefariki dunia akiwa anasoma Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3474143    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/31

TEHRAN (IQNA) – Tarjuma za Qurani Tukufu kwa lugha za Kiswahili na Kiindonesia ni kati ya vitaby vipya ambavyo vimewasilishwa katika Maoneysho ya Kimataifa ya Vitabu ya Cairo.
Habari ID: 3474093    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/12

TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Awqaf nchini Misri Sheikh Mukhtar Gomaa amekutana na Katibu Mkuu wa Akademia ya Kimataifa ya Fiqhi Sheikh Koutoub Mustafa Sano kujadili njia ya kukabiliana na misimamo mikali ya kidini.
Habari ID: 3474077    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/07

TEHRAN (IQNA)- Hakuna shaka kuwa mmoja kati ya wasomaji bora zaidi wa Qur'ani Tukufu nchini Misri alikuwa ni Ragheb Mustafa Ghalwash.
Habari ID: 3474076    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/06

TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Ethiopia imepinga vikali uingiliaji wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) mgogoro wake mrefu na Misri pamoja na Sudan kuhusu ujenzi wa bwawa kubwa la maji katika Mto Nile.
Habari ID: 3474075    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/06

TEHRAN (IQNA)- Bi kizee aliye na umri wa miaka 90 nchini Misri amehifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu na ana uwezo wa kusoma kwa mbinu 10 tafauti.
Habari ID: 3474043    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/26

TEHRAN (IQNA)- Qarii maarufu wa Misri Sheikh Muhammad Abdul Halim ameaga dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Habari ID: 3474042    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/25

TEHRAN (IQNA)- Waziri wa mambo ya nje wa utawala wa Kizayuni wa Israel Jumapili ataitembelea Misri kwa lengo la kufanya mazungumzo na wakuu wa usalama nchi hiyo kuhusu mapatano yaliyofikishwa ya usitishwaji vita Ghaza.
Habari ID: 3473960    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/29

TEHRAN (IQNA)- Surah Al-Qadr ni ya 97 katika Qur'ani Tukufu na ina aya 5.
Habari ID: 3473883    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/06

TEHRAN (IQNA) – Ujumbe wa ngazi za juu wa wanazuoni kutoka Chuo cha Kiislamu cha Al Azhar cha Misri ulitembelea Iran nusu karne iliyopita ikiwa ni katika jitihada za wanazuoni wa Shia na Sunni kuleta umoja wa Kiislamu na ukuruba wa madhehebu.
Habari ID: 3473860    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/29

TEHRAN (IQNA)- Utawala wa kiimla nchini Misri umetekeleza hukumu ya kunyongwa dhidi ya wafungwa 18, akiwemo Sheikh Abdel Halim Jibrel, mwalimu wa Qur’ani aliyekuwa na umri wa miaka 80.
Habari ID: 3473856    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/28

TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Misri imewaweka wanachama wengine 103 wa harakati ya Ikhwanul Muslimin kwenye orodha ya magaidi kufuatia hukumu zilizotolewa na mahakama za nchi hiyo.
Habari ID: 3473806    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/12

TEHRAN (IQNA)- Misri imesema itaruhusu Sala ya Tarawih katika baadhi ya misikiti tu katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3473775    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/31

TEHRAN (IQNA) – Hivi sasa katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na mataifa kadhaa ya karibu wananchi wanaadhimisha kuwadia mwaka mpya wa Hijria Shamsiya.
Habari ID: 3473763    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/26

TEHRAN (IQNA) – Mchezaji maarufu wa soka wa timu ya Ligi Kuu ya England, Mohammad Salah ameonekana akisoma Qur’ani Tukufu akiwa ndani ya ndege.
Habari ID: 3473758    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/24

TEHRAN (IQNA)- Misri imeanza kujenga kituo cha utamaduni wa Kiislamu ambacho kitajumuisha msikiti mkubwa.
Habari ID: 3473734    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/14

TEHRAN (IQNA) – Wakuu wa Misri na baadhi ya maeneo ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) na wametangaza kuwa mijumuiko ya umma ya Futari katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ni marufuku ili kuzuia kuenea virusi vya Corona au COVID-19.
Habari ID: 3473716    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/08

TEHRAN (IQNA) – Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar kimetangaza kuwa kudungwa chanjo ya Corona au COVID-19 haitabatilisha Saumu ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3473713    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/07

TEHRAN (IQNA)- Viongozi wa kanisa wameshiriki katika ufunguzi wa msikiti katika mji wa El Mahalla nchini Misrikatika jimbo la Gharbia nchini Misri.
Habari ID: 3473689    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/28