iqna

IQNA

misri
TEHRAN (IQNA)- Vituo vya kuwafunza waalimu wa Qur'ani nchini Misri vinatazamiwa kuanza tena shughuli zao baada ya kufungwa kwa mwaka moja.
Habari ID: 3474579    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/19

TEHRAN (IQNA)- Televisheni moja ya Misri inayorusha matangazo kwa njia ya sataliti ina kipindi maalumu ambacho kinajumuisha qiraa ya Qur'ani tukufu ya wasomoaji kutoka nchi mbali mbali.
Habari ID: 3474532    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/09

TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Wakfu ya Misri imetangaza Ijumaa kuwa masanduku ya misaada ni marufuku katika misikiti kote Misri.
Habari ID: 3474529    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/08

TEHRAN (IQNA)- Msikiti wa Kituo cha Kiislamu cha Al Azhar umeanza tena vdarsa za Qur'ani za kuhudhuria ana kwa ana baada ya marufuku yam waka moja na nusu kutokana na janga la COVID-19.
Habari ID: 3474513    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/04

TEHRAN (IQNA)-Taasisi ya Darul Iftaa ya Misri imesema kuchapisha aya za Qur'ani Tukufu kwenye noti na sarafu ni Makruh.
Habari ID: 3474503    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/02

TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Wakfu nchini Misri imetangaza kuwa darsa za kuhifadhi Qur'ani ndani ya misikiti kwa kuhudhuria ana kwa ana waalimu na wanafunzi zitaanza tena kote katika nchi hiyo.
Habari ID: 3474496    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/31

TEHRAN (IQNA)- Msomi wa Kiislamu nchini Misri amesema Uislamu unalipa umuhimu mkubwa suala la kulinda maeneo ya ibada hata yale ambayo si ya Waislamu.
Habari ID: 3474470    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/25

TEHRAN (IQNA) – Taasisi ya Darul Iftaa ya Misri imetoa wito kwa Waislamu dunaini kote kuandaa sherehe za kukumbuka kuzaliwa Bwana Mtume Muhammad SAW ambazo ni maarufu kama Maulidi.
Habari ID: 3474415    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/12

TEHRAN (IQNA)- Watu 100 waliohifadhi Qur’ani Tukufu nchini Misri katika mji wa Al-ʾIskandariyah (Alexandria) wameenziwa na kutunukiwa zawadi baada ya mashindani makubwa ya Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3474398    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/08

TEHRAN (IQNA)- Binti M misri ameshinda mashindano ya kitaifa ya kuhifadhi Qur’ani ambayo yameandaliwa na Kituo cha Kiislamu cha Al Azhar nchini humo.
Habari ID: 3474364    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/30

TEHRAN (IQNA)- Abdullah Ammar Mohammad al-Sayyed ni kijana M misri mwenye ulemavu wa macho ambaye alifanikiwa kuhifadhi Qur’ani Tukufu katika kipindi cha miezi mitatu tu.
Habari ID: 3474352    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/28

TEHRAN (IQNA)- Sheikh Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al Azhar nchini Misri anatazamiwza kuitembelea Iraq mwezi ujao.
Habari ID: 3474311    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/18

TEHRAN (IQNA)- Qarii na hafidh wa Qur’ani Tukufu Misri, Mahmoud Abdul Sattar al Utwa amefariki akiwa na umri wa miaka 26.
Habari ID: 3474299    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/15

TEHRAN (IQNA)- Tafsiri ya kale ya Qur’ani Tukufu inahifadhi katika Jumba la Makumbusho la Nyaraka za Kale la Alexandria nchini Misri.
Habari ID: 3474297    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/15

TEHRAN (IQNA)- Sherehe imefanyika katika kijiji kimoja kaskazini mwa Misri kuwaenzi wanafunzi waliohifadhi Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3474285    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/12

TEHRAN (IQNA)- Wanakijiji Wakristo wanashirikiana na Waislamu katika kukarabati msikiti mmoja wa kale katika mkoa wa Al Minya nchini Misri.
Habari ID: 3474231    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/27

TEHRAN (IQNA)- Dada wawili nchini Uingereza wamesilimu baada ya kuvutiwa na unyenyekevu pamoja na maadili mema ya mchezaji soka maarufu wa Misri Mohammad Salah, ambaye ni fowadi wa klabu ya Liverpool katika Ligi Kuu ya Uingereza (EPL).
Habari ID: 3474224    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/25

TEHRAN (IQNA) - Mkurugenzi mpya wa Idhaa ya Qur'ani ya Radio ya Misri alisema programu maalum itarushwa na idhaa hiyo siku za usoni ambayo inaangazia qiraa nadra za Qur'ani ambazo ni za wasomaji Wa misri .
Habari ID: 3474222    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/24

TEHRAN (IQNA)- Qarii maarufu wa Misri Sheikh Mahmoud Shahat Anwar hivi karibuni alisoma aya za Qur'ani alipotembelea ofisi za tovuti ya Al Balad.
Habari ID: 3474221    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/24

TEHRAN (IQNA)- Binti mmoja nchini Misri ambaye sasa ana umri wa miaka 11 aliweza kuhifadhi Qur’ani Tukufu kikamilifu akiwa na umri wa miaka 7.
Habari ID: 3474152    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/02