iqna

IQNA

misri
CAIRO (IQNA) –Chuo Kikuu cha Al Azhar cha nchini MIsri kimewataka Waislamu duniani kote kukabiliana kwa uwezo na nguvu zote na jinai za utawala wa Kizayuni.
Habari ID: 3477754    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/18

Wasomaji bingwa wa Qur'ani Tukufu
CAIRO (IQNA) – Visomo vya Qur’ani vya msomaji maarufu wa Misri Sheikh Sheikh Abul Ainain Shuaisha vilitoka kwenye kina cha nafsi yake na ndio maana viligusa nyoyo za wasikilizaji.
Habari ID: 3477657    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/26

Harakati za Qur'ani Tukufu
CAIRO (IQNA) - Hafla imefanyika katika mji wa Itsa, Jimbo la Faiyum nchini Misri, kuwaenzi wahifadhi 989 wa Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3477613    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/17

Kutetea Qur'ani Tukufu
CAIRO (IQNA) - Wizara ya Awqaf ya Misri itakuwa na programu maalum ziitwazo 'Ijumaa ya Qur'ani' kila wiki ili kukabiliana na vitendo vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu nchini Uswidi.
Habari ID: 3477306    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/19

Shughuli za Qur'ani
Wizara ya Wakfu ya Misri imezindua kozi tatu za mtandaoni za Qur'ani kwa wanafunzi kutoka nchi mbalimbali.
Habari ID: 3477134    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/11

Mapambano
Duru za utawala wa Kizayuni wa Israel zimethibitishwa kuwa, wanajeshi watatu utawala huo wameangamizwa wengine kadhaa kujeruhiwa katika shambulio la risasi kwenye mipaka ya Misri na Palestina inayokalia kwa mabavu ambayo imepachikwa jina bandia la Israel
Habari ID: 3477103    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/05

Shughuli za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Matar Tares ni jina la kijiji ambapo familia zote zina kumbukumbu moja ya Quran nzima.
Habari ID: 3477053    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/27

Harakati za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Wizara ya Wakfu ya Misri imesema vikao maalumu vya kusoma Qur'ani Tukufu kwa wanawake vinaendelea kufanyika katika majimbo matatu ya nchi hiyo.Magavana wa Cairo, Sharqia na Alexandria wanaendelea kuandaa matukio ya Qur'ani, kwa mujibu wa tovuti ya Tahya Misr.
Habari ID: 3477040    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/24

Qurani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Mohammed na Iman ni kaka na dada wa Ki misri ambao umahiri wao katika usomaji wa Ibtihal umewapatia umaarufu nchini humo.
Habari ID: 3476977    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/08

Misri
TEHRAN (IQNA) - Wizara ya Wakfu ya ya Misri imesema mpango wa kutoa mafunzo kwa wahifadhi Qur'ani watoto milioni moja utazinduliwa nchini humo.
Habari ID: 3476913    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/25

Harakati za Qur'ani Misri
TEHRAN (IQNA) - Wanaharakati, wanasiasa na wasikilizaji nchini Misri wametoa wito wa kupigwa marufuku matangazo ya biashara kwenye Idhaa au Redio ya Qur'ani ya nchi hiyo.
Habari ID: 3476748    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/23

TEHRAN (IQNA) - Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas ilionyesha upinzani dhidi ya ushiriki wa makundi ya Wapalestina katika mkutano uliopangwa kufanyika huko Sharm El-Sheikh wa Misri unaodaiwa kuwa na lengo la kupunguza hali ya wasiwasi katika maeneo ya Palestina yanayokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3476731    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/19

Wasomaji Maarufu wa Qur'ani Tukufu /29
TEHRAN (IQNA) - Kunaweza kuwa na makari wachache sana kama Sheikh Shaban Abdul Aziz Sayyad katika suala la ufasaha, uwezo wa sauti, na kufahamiana na Sawt, Lahn na Maqamat ya Qur'ani.
Habari ID: 3476695    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/12

Msomi wa Misri
TEHRAN (IQNA) –Mhadhiri wa chuo kikuu kutoka Misri anasema mafanikio ya wanawake wa Kiislamu katika nyanja tofauti yanasambaratisha "simulizi potofu" na "fikra potofu" kuhusu Uislamu na Waislamu.
Habari ID: 3476680    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/08

Qurani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Sherehe ilifanyika katika mji wa Giza, Misri, kwa ajili ya kuwaenzi wasichana ambao wamejifunza Qur’ani Tukufu kwa moyo kikamilifu.
Habari ID: 3476677    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/08

Mwezi wa Ramadhani
TEHRAN (IQNA) - Waziri wa Wakfu nchini Misri Sheikh Muhammad Mukhtar Jumaa alisema misikiti nchini humo iko tayari kuwapokea waumini ajili ya Sala za kila siku na ibada nyinginezo katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3476668    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/06

Harakati za Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Muda wa mwisho wa kushiriki katika mashindano ya kimataifa ya 'Miujiza ya Qur'ani na Sunnah' umeongezwa kwa miezi miwili, kwa mujibu wa waandaaji.
Habari ID: 3476646    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/02

Harakati za Qur'ani Misri
TEHRAN (IQNA)-Wizara ya Wakfu ya Misri imesema imeanzisha shirika la kusimamia wasomi maarufu wa Qur'ani na wale wenye vipaji vya Qur'ani katika nchi hiyo ya Kiarabu.
Habari ID: 3476593    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/20

Wanawake katika Uislamu
TEHRAN (IQNA) – Hajar Sa’eddin aliongoza Idhaa ya Qur’ani ya Misri kwa muda wa miezi 7. Alikuwa mwanamke wa kwanza kushika nafasi hiyo.
Habari ID: 3476569    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/16

Mwezi wa Ramadhanii
TEHRAN (IQNA) - Wizara ya Wakfu ya Misri imezindua kampeni ya kusafisha misikiti nchini humo kabla ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3476560    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/14