IQNA – Pazia jipya linalofunika Al-Kaaba Tukufu mjini Makkah, ambalo hujulikana kama Kiswa, limekabidhiwa rasmi kwa wasimamizi wa Msikiti Mtakatifu wa Makka yaani Masjid al Haram, ikiwa ni ishara ya mwanzo wa taratibu za kila mwaka za kubadilisha kiswahili hilo.
Habari ID: 3480813 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/09
IQNA – Katika maandalizi ya ibada ya Hija ijayo, maafisa wa Msikiti Mtakatifu wa Makka wameinua sehemu ya chini ya pazia la Kaaba, linalojulikana kama Kiswah, kwa urefu wa mita tatu.
Habari ID: 3480687 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/14
IQNA – Masjid al Haram au Msikiti Mkuu katika mji mtukufu wa Makka ni mwenyeji wa maonyesho kuhusu historia ya Kaaba.
Habari ID: 3480343 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/10
IQNA - Kiswa, au kifuniko, cha Kaaba Tukufu kilibadilishwa katika maombolezo Muharram ya mapema ya Imamu Husein (AS) siku ya Jumapili.
Habari ID: 3479084 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/07
IQNA - Sheikh Saleh Al-Shaiba, mshika ufunguo mkuu na mlezi wa Kaaba Tukufu, alizikwa siku ya Jumamosi asubuhi kwa ajiri ya kuugua kwa muda mrefu.
Habari ID: 3479009 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/24
Umrah
IQNA – Waislamu wanaotekeleza Hija ndogo Umrah ndio pekee wataruhusiwa kufanya Tawaf (kuzunguka Kaaba Tukufu) katika Msikiti Mkuu wa Makka, Masjid al-Haram, wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3478465 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/07
Ka'aba Tukufu
IQNA – Mpango wa kawaida wa matengenezo na ukarabati wa Ka’aba katika mji mtakatifu wa Makka ulianza Jumamosi.
Habari ID: 3478023 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/12
Mji wa Makka
TEHRAN (IQNA) – Mvua kwa kawaida hunyesha katika mji mtakatifu wa Makka kwa kiasi kidogo kati ya Novemba na Januari. Ijumaa, Novemba 11, ilikuwa siku ya neema ya mvua katika mji mtakatifu.
Habari ID: 3476080 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/13
Kaaba Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Maafisa kadhaa wa Saudia walihudhuria sherehe za kila mwaka za kuosha Kaaba Tukufu katika mji wa Makka Jumanne asubuhi.
Habari ID: 3475630 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/16
Qur'ani Tukufu Inasemaje /15
TEHRAN (IQNA) – Kaaba tukufu iliyoko Makka ni mahali ambapo Waislamu hutekeleza Hija na Umrah, lakini kwa mujibu wa Qur'ani, Kaaba ni kwa ajili ya mwongozo sio tu kwa Waislamu bali ulimwengu mzima.
Habari ID: 3475453 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/02
Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA) - Maelfu ya waumini wa dini tukufu ya Kiislamu kutoka kona zote za dunia wameendelea kuwasili katika mji mtakatifu wa Makka Ijumaa, wakiwa ni miongoni mwa Waislamu milioni moja wanaotarajiwa kushiriki ibada ya Hija mwaka huu wa 2022 ambapo hii ni mara ya kwanza baada ya miaka miwili ya kuzuia mahujaji kutoka nje ya Saudia kutokana na janga la Covid.
Habari ID: 3475446 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/01
Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA)- Operesheni ya kuosha na kusafisha Ka’aba Tukufu huko Makka imekamilika ili kuandaa mahali patakatifu kwa ajili ya Hija ijayo.
Habari ID: 3475335 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/04
TEHRAN (IQNA)- Sherehe imefanyika mjini Makka Jumapili kubadilisha pazia la al-Kaaba Tukufu linalojulikana kama Kiswa baada ya kuwadia mwezi wa Dhul Hija ambao ni mwezi wa kutekeleza Ibada ya Hija.
Habari ID: 3472988 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/22