IQNA – Waasi wa RSF wametekeleza shambulizi la ndege isiyo na rubani dhidi ya msikiti mjini el-Fasher, Sudan, siku ya Ijumaa, na kuwaua zaidi ya raia 70, kwa mujibu wa Baraza la Uongozi la Sudan na waokoaji wa eneo hilo.
Habari ID: 3481255 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/20
IQNA – Kundi moja la kutetea haki za binadamu nchini Marekani limelaani shambulio la kikatili lililotokea hivi karibuni dhidi ya kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Habari ID: 3481017 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/30
TEHRAN (IQNA)- Wati 16, wakiwemo raia 13 na askari watatu wameuawa jimboni Ituri Mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokraisia ya Kongo (DRC) kufuatia hujuma ambayo imetekelezwa na waasi wa ADF kutoka nchi jirani ya Uganda.
Habari ID: 3473651 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/15
TEHRAN (IQNA) – Nchi za mashariki mwa Afrika zimepongeza makubaliano ya amani baina ya Serikali ya Mpito ya Sudan na Muungano wa Harakati ya Kimapinduzi kutoka jimbo la Darfur na katika majimbo ya kaskazini ili kuhitimisha mgogoro wa miaka 17 nchini humo.
Habari ID: 3473134 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/03