Arbaeen ya Imam Hussein AS
TEHRAN (IQNA)- Gavana wa Karbala, Iraq ametangaza kuwa, wafanyaziara kutoka nchi 80 katika maadhimisho ya mwaka huu za Arbaeen mwaka huu wa 1444 Hijria Qamari sawa na 2022 Miladia.
Habari ID: 3475792 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/16
Matembezi ya Arbaeen
TEHRAN (IQNA) – Mamilioni ya Waislamu wako katika safari ya kuelekea kwenye haram tukufu ya Imam Hussein (AS), ili kuonyesha mapenzi na kujitolea kwao kwa mjukuu kipenzi wa Mtume Muhammad (SAW).
Habari ID: 3475787 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/15
Matembezi ya Arbaeen
TEHRAN (IQNA) – Kikosi cha Kujitolea cha Wananchi wa Iraq (PMU) kimegundi maroketi katika mji mtakatifu wa Karbala wakati siku ya Arbaeen inapokaribia huku idadi kubwa ya wafanyaziara wakiwa wamekusanyika kwenye mji huo mtakatifu.
Habari ID: 3475775 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/13
Arbaeen ya Imam Hussein AS
TEHRAN (IQNA) - Maonyesho ya Qur'ani Tukufu yamewekwa kwenye barabara kati ya miji mitukufu ya Najaf na Karbala nchini Iraq wakati wa msimu wa Arbaeen.
Habari ID: 3475761 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/10
Arbaeen ya Imam Hussein AS
TEHRAN (IQNA) – Idara ya afya ya mkoa wa Karbala nchini Iraq imezindua mpango maalum wa afya kwa ajili ya maombolezo ya Arbaeen ya Imam Hussein AS.
Habari ID: 3475739 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/05
TEHRAN (IQNA) - Waislamu, aghalabu wakiwa ni wa madhehebu ya Shia, kutoka kila kona za Iraq wako katika matembezi ya wiki kadhaa ya kuelekea katika mji mtakatifu wa Karbala kwa ajili ya maadhimisho ya Arobaini ya Iman Hussein AS.
Habari ID: 3473232 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/05
Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Nigeria jana waliungana na Waislamu wengine duniani na kushiriki kwa wingi katika maombelezo ya Arubaini ya Imam Hussein (A.S) kwa kukusanyika katika mji wa Zaria.
Habari ID: 2618158 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/12/14
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Takribani miaka 1375 iliyopita, ilifanyika majlisi ya kwanza ya siku ya Arubaini tangu kuuawa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad (SAW) Imam Hussein bin Ali (AS) akiwa na watu wa Nyumba Tukufu ya Mtume ambao waliuawa shahidi tarehe 10 Muharram mwaka 61 Hijria.
Habari ID: 2617894 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/12/13