arbaeen - Ukurasa 4

IQNA

Arbaeen 1446
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema mbele ya wanafunzi wa vyuo vikuu katika maombolezo ya Arubaini ya Imam Husain AS kwamba mapambano baina ya kambi ya haki ya Imam Hussein (AS) na kambi ya batili ya Yazid kamwe havitomalizika.
Habari ID: 3479328   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/25

Arbaeen 1446
IQNA- Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amesisitiza kuwa misimamo yote ya uungaji mkono wa Palestina inatokana na harakati ya Imam Hussein (AS) na akasema: Kukusanyika kwetu leo ​​katika barabara ya kuelekea Karbala ni dhihirisho la ushindi harakati ya Imam Hussein (AS) na dalili zinaashiria kuangamizwa Israel na ushindi wa uhakika wa Gaza.
Habari ID: 3479327   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/25

Arbaeen 1446 H
IQNA-Mamilioni ya Waislamu kutoka nchi mbalimbali duniani wanakusanyika kwenye mji mtakatifu wa Karbala nchini Iraq ili kuadhimisha kumbukumbu ya Arubaini au Arbaeen, inayoashiria siku ya 40 baada ya kuuawa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad (SAW) Imam Hussein (AS), katika ardhi ya Karbala hapo mwaka 61 Hijria.
Habari ID: 3479326   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/25

Arbaeen 1446
IQNA - Kila siku, makumi ya maelfu ya mazuwar au wafanyaziara wa Arbaeen hutembelea Msikiti Mkuu wa Kufa, ulioko karibu na Najaf, Iraq.
Habari ID: 3479324   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/24

Arbaeen 1446
IQNA – Mwanazuoni na mtafiti wa Iraq aliangazia nafasi ambayo matembezi ya Arbaeen yanaweza kuwa nayo katika kukuza fikra kuhusu Umahdi yaani itikadi ya Imam Mahdi (Mwenyezi Mungu Aharakishe Kudhihiri Kwake)
Habari ID: 3479323   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/24

Arbaeen 1446
IQNA - Imam Hussein (AS) alitaka kueneza uadilifu na hivyo matembezi ya Arbaeen yanahitaji kutumika kama njia ya kutafakari mapambano dhidi ya madhalimu wa leo, mwanazuoni mmoja wa Kiislamu anasema.
Habari ID: 3479321   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/24

Arbaeen 1446
IQNA - Mawkib yenye jina la "Neda al-Aqsa" (Wito wa Al Aqsa) imeundwa kwenye nguzo nambari 833 ya barabara ya Najaf-Karbala nchini Iraq katika matembezi ya Arbaeen ya mwaka huu. Mawkiba hii inakaribisha wafanyaziara na maafisa ambao husimama ili kutoa sauti zao za mshikamano. na Wapalestina huku kukiwa na mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza.
Habari ID: 3479315   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/23

Arbaeen 1446
IQNA - Wajumbe wa msafara wa Qur'ani wa Iran hadi sasa wameandaa programu 650 tofauti kwa wafanyaziara wa Arbaeen nchini Iraq.
Habari ID: 3479313   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/23

Arbaeen na Muqawama
IQNA - Kundi la wasomaji Qur’ani (maqari) wa Kiirani walioenda Iraq wakati wa msimu huu wa Arbaeen wameshiriki katika vikao vya  kusoma Qur'ani kwenye kaburi la Shahidi Abu Mahdi al-Muhandis, naibu mkuu wa zamani wa VJeshi la Kujitolea la Wananchi wa Iraq (PMU).
Habari ID: 3479310   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/21

Arbaeen 1446
IQNA - Huku mamilioni ya wafanyaziara au mazuwar wakiwa wanashiriki katika matembezi ya Arbaeen, wataalamu wanasisitiza umuhimu wa kudumisha mlo sahihi ili kuhakikisha afya na ustawi njiani.
Habari ID: 3479308   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/21

Arbaeen 1446
IQNA - Kundi la wanaharakati wa Qur'ani wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al-Mustafa wamelekea Iraq Jumatatu jioni kushiriki katika matembezi ya Arbaeen ya Imam Hussein (AS).
Habari ID: 3479305   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/20

Arbaeen
IQNA – Assad Al Eidani Gavana wa Basra kusini mwa Iraq ametangaza siku tatu za likizo ya umma katika mkoa huo kwa munasaba wa  Arbaeen ya Imam Hussein (AS)
Habari ID: 3479304   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/20

Arbaeen katika Qur'an /3
IQNA – Wakati Arbaeen, maana yake ni arobaini na arubaini, ni neno linalohusiana na wingi, katika maandiko mengi ya Kiislamu na Hadithi, linatumika kurejelea sifa na ukuaji wa kiroho wa mwanadamu.
Habari ID: 3479302   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/19

Arbaeen 1446
IQNA – Jumba la Makumbusho la Al-Kafeel, lenye mafungamano na Haram Takatifu ya Hazrat Abbas (AS), limeweka Mawkib kwenye barabara ya Najaf-Karbala ili kuwahudumia wafanyaziara wa Arbaeen.
Habari ID: 3479301   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/19

IQNA - Wanachama wa kike wa Msafara wa Qur'ani wa Arbaeen wa Iran, unaojulikana kama Msafara wa Noor, wameanza kuandaa programu za Qur'ani kwa ajili ya mazuwar.
Habari ID: 3479300   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/19

Arbaeen 1446
IQNA - Mawkib kwa ajili ya wafanyaziara au mazuwar wa Arbaeen wanaozungumza Kiingereza itazinduliwa Karbala, Iraq, katika siku zijazo.
Habari ID: 3479298   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/19

Arbaeen 1446
IQNA - Mkurugenzi wa Taasisi ya Qur'ani inayohusishwa na Haram ya Hazrat Abbas (AS) huko Karbala ametangaza kuanza kwa programu maalum za Qur'ani kwa wafanyaziara wa Arbaeen.
Habari ID: 3479296   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/18

Arbaeen 1446
IQNA - Waziri Mkuu wa Iraq alisema idadi ya wafanyaziara wa Arbaeen kutoka Iraq na nje ya nchi inatarajiwa kufikia milioni 23 mwaka huu.
Habari ID: 3479294   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/18

Arbaeen katika Qur’ani /2
IQNA – Neno Arbaeen (maana ya siku arubaini) limetajwa ndani ya Qur’ani Tukufu kuhusu Miqat ya Musa (AS) na kuhusu jinsi Bani Isra’il walivyokwama. Kuna aya 4 ndani ya Qur’ani Tukufu ambamo Arbaeen imetajwa, 3 kati yake ni kuhusu Bani Isra’il.
Habari ID: 3479292   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/18

Arbaeen 1446
IQNA - Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran Mohammad Reza Aref amesisitiza haja ya kutoa huduma bora kwa wafanyaziara wa Arbaeen.
Habari ID: 3479287   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/16