IQNA – Hijra ya Arbaeen ya mwaka 1447 Hijria imeanza rasmi, huku maelfu ya mahujaji wakiianza safari yao kwa miguu kutoka eneo la Ras al-Bisheh, lililoko kusini kabisa mwa Iraq katika mkoa wa Al-Faw, wakielekea mji mtakatifu wa Karbala.
Habari ID: 3480940 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/14
IQNA – Operesheni ya kusafirisha wafanyaziara kwa ajili ya ibada ya Arbaeen mwaka huu itaanza rasmi tarehe 25 Julai, kwa mujibu wa Naibu Waziri wa Uchukuzi wa Iran, Mehran Ghorbani.
Habari ID: 3480924 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/11
IQNA-Iran imetangaza kaulimbiu rasmi ya matembezi adhimu ya ya Arbaeen mwaka 1447 (2025), ni Inna Ala Al-Ahd" (Tuko Katika Ahadi") ili kuonyesha uaminifu kwa maadili ya Imam Hussein (AS).
Habari ID: 3480646 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/06
IQNA – Nakala ya Qur'ani ya kipekee iliyoandikwa kwa mkono na Wafanyaziara wa Arbaeen inaonyeshwa katika banda la Haram ya Hadhrat Abbas (AS) kwenye Maonyesho ya 32 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran.
Habari ID: 3480359 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/12
IQNA – Kongamano la Kimataifa la "Arbaeen na Utamaduni wa Muqawama" lilianza mjini Kerman, Iran, Jumanne.
Habari ID: 3480203 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/12
IQNA – Afisa mmoja wa Iran amesema kuwa mjumuiko na matembezi ya Arbaeen, yanayofanyika kila mwaka huko Karbala, yanatoa ujumbe wa mwangaza na ni “jibu la kivitendo” katika kukabiliana na chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia).
Habari ID: 3480056 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/15
Arbaeen
IQNA - Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amesema kuwa safari ya Arbaeen ya mamllioni ya ni ishara ya umoja kati ya mataifa na dini.
Habari ID: 3479562 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/08
Arbaeen 1446
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa shukurani zake kwa wenye mawkib na taifa la kubwa la Iraq katika kipindi cha kumbukumbu ya Arbaeen ya Imam Hussein (AS).
Habari ID: 3479419 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/11
Arbaeen
IQNA - Wafanyaziara wawili wa Iran walianza mradi mwaka huu wa kuandika aya za Qur'ani Tukufu katika safari yao ya siku 72 ya Arbaeen kutoka Mashhad, Iran hadi Karbala, Iraq.
Habari ID: 3479396 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/07
Shughuli za Qur'ani
IQNA – Idara ya Mfawidhi wa Haram Takatifu ya Hadhrat Abbas (AS) huko Karbala, Iraq iliandaa programu mbalimbali za Qur’ani kwa wafanyaziara wa kike wakati wa matembezi ya Arbaeen mwaka huu.
Habari ID: 3479388 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/06
Nigeria
IQNA - Waislamu wa madhehebu ya Shia walifanya maandamano katika maeneo tofauti ya Nigeria kupinga ukatili wa hivi majuzi wa polisi dhidi ya wanawake na wasichana waliokuwa wanashiriki katika katika hafla za maombolezo ya Siku ya Arbaeen.
Habari ID: 3479370 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/02
Arbaeen katika Qur'ani /4
IQNA - Matembezi ya kila mwaka ya Arbaeen, moja ya mikusanyiko mikubwa ya kidini duniani, yana mizizi mirefu katika mafundisho ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3479367 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/02
Arbaeen 1446
IQNA – Mkutano wa nane wa Kimataifa wa Matemberzi ya Arbaeen umefanyika Karbala, Iraq na wanazuoni kutoka nchi 35 wamejadili ufahamu wao kuhusu tukio hilo ambalo mwaka huu limewaleta Pamoja wafanyaziara milioni 21.
Habari ID: 3479354 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/30
Arbaeen
IQNA - Mwakilishi wa Jimbo la Utah nchini Marekani Trevor Lee amehimizwa kukutana na Waislamu wa jimbo hilo baada ya video aliyochapisha kusababisha wimbi la chuki dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3479351 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/30
Arbaeen 1446
IQNA – Idara ya Mfawidhi wa Haram Tukufu ya Imam Ali (AS) huko Najaf, Iraq, imetangaza kuwahudumia wafanyaziara kwa kuwapa chakula katika eneo hilo takatifu hadi mwisho wa mwezi wa Hijri wa Safar.
Habari ID: 3479341 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/28
Arbaeen
IQNA - Ujumbe wa wasomaji Qur’ani wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al-Mustafa cha Iran ambao umesafiri hadi Iraq kwa ajili ya Arbaeen ulifanya programu kadhaa za usomaji wa Qur'ani katika mji mtakatifu wa Najaf.
Habari ID: 3479339 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/28
Arbaeen 1446
IQNA - Hija ya Arbaeen ina uwezo mkubwa wa kuunda vuguvugu la kimataifa dhidi ya dhuluma na ukandamizaji, mwambata wa Utamaduni wa Iran nchini Tanzania amesema.
Habari ID: 3479336 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/27
Arbaeen 1446 H
IQNA - Zaidi ya wafanyaziara milioni 21 kutoka duniani kote walishiriki katika matembezi ya mwaka huu ya Arbaeen nchini Iraq, kwa mujibu wa Ofisi ya Haram Tukufu la Imam Hussein (AS), Karbala, Iraq.
Habari ID: 3479332 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/26
Arbaeen 1446 H
IQNA - Msafara wa Qur'ani wa Iran uliotumwa Iraq kushiriki katika vikao vya Qur'ani kwa munasaba wa Arbaeen ulihitimisha shughuli zake baada ya karibu siku kumi.
Habari ID: 3479331 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/26
Arbaeen 1446
IQNA - Matembezi ya Arbaeen ambayo huvutia mamilioni ya wafanyaziara kila mwaka ni ishara ya utambuzi wa ustaarabu mpya wa Kiislamu, mwanazuoni wa Iraq alisema.
Habari ID: 3479330 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/26