IQNA – Mamlaka za Iraq zimezindua maandalizi makubwa ya huduma na usalama, huku mamilioni ya wafanyaziara wakitarajiwa kuelekea Karbala kwa ajili ya matembezi ya Arbaeen.
Habari ID: 3481038 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/04
IQNA – Ofisi ya kiongozi mkuu wa Kishia nchini Iraq, Ayatullah Ali al-Sistani, imetoa tamko la kuzuia taasisi za kisiasa na za huduma kutumia picha yake katika maeneo ya wazi, hasa wakati wa hija ya Arbaeen inayokaribia.
Habari ID: 3481037 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/04
IQNA – Mkurugenzi wa Msafara wa Hijja wa Iran ameifu mshikamano wa kimataifa uliodhihirika wakati wa vita vya siku kumi na mbili vilivyoanzishwa na utawala wa Israel dhidi ya Iran, na ametilia mkazo umuhimu wa umoja wa Waislamu kuelekea Siku ya Arbaeen ya Imam Hussein (AS).
Habari ID: 3481035 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/04
IQNA – Idara ya Masuala ya Wanawake ya Taasisi ya Haram Tukufu ya Imam Ali (AS) imeandaa mipango kabambe ya kuwahudumia wafanyaziyara wa kike katika msimu huu wa ziara ya Arbaeen.
Habari ID: 3481032 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/02
IQNA-Kundi la maombolezo la Bani Amer, mojawapo ya makundi makubwa zaidi ya waombolezaji nchini Iraq, limeanza matembezi yake ya kiroho kutoka Basra kuelekea Karbala, likiwa limevalia mavazi meupe ya kitamaduni, kwa ajili Arbaeen ya mwaka huu.
Habari ID: 3481014 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/28
IQNA – Taasisi za kidini na kiraia katika mji mtukufu wa Qom, Iran, zinajiandaa kuwapokea zaidi ya wafanyaziyara 500,000 wa Arbaeen kutoka zaidi ya nchi 30, kwa mipango mahsusi ya huduma.
Habari ID: 3481011 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/28
IQNA – Haram Tukufu ya Imam Ali (AS) iliyopo Najaf, Iraq, imetangaza kuwa inaendelea na maandalizi makubwa kwa ajili ya kuwapokea Wafanyaziyara wengi wanaotarajiwa kufika kwa ziyara ya Arbaeen ijayo.
Habari ID: 3480996 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/25
IQNA – Shughuli za Msafara wa Qur'ani wa Arbaeen wa Iran mwaka huu nchini Iraq zinatarajiwa kuanza tarehe 5 Agosti, kwa mujibu wa afisa mmoja.
Habari ID: 3480995 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/25
IQNA – Afisa mmoja wa utamaduni nchini Iran ameeleza kuwa matembezi ya Arbaeen ni dhihirisho la wazi la mafundisho ya Qur’ani Tukufu kwa vitendo.
Habari ID: 3480985 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/23
IQNA – Afisa mmoja wa masuala ya utamaduni kutoka Iran amesema kwamba matembezi makubwa ya kila mwaka ya Arbaeen ni fursa ya kipekee ya kuonesha ustaarabu mpya wa Kiislamu.
Habari ID: 3480963 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/18
IQNA – Hijra ya Arbaeen ya mwaka 1447 Hijria imeanza rasmi, huku maelfu ya mahujaji wakiianza safari yao kwa miguu kutoka eneo la Ras al-Bisheh, lililoko kusini kabisa mwa Iraq katika mkoa wa Al-Faw, wakielekea mji mtakatifu wa Karbala.
Habari ID: 3480940 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/14
IQNA – Operesheni ya kusafirisha wafanyaziara kwa ajili ya ibada ya Arbaeen mwaka huu itaanza rasmi tarehe 25 Julai, kwa mujibu wa Naibu Waziri wa Uchukuzi wa Iran, Mehran Ghorbani.
Habari ID: 3480924 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/11
IQNA-Iran imetangaza kaulimbiu rasmi ya matembezi adhimu ya ya Arbaeen mwaka 1447 (2025), ni Inna Ala Al-Ahd" (Tuko Katika Ahadi") ili kuonyesha uaminifu kwa maadili ya Imam Hussein (AS).
Habari ID: 3480646 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/06
IQNA – Nakala ya Qur'ani ya kipekee iliyoandikwa kwa mkono na Wafanyaziara wa Arbaeen inaonyeshwa katika banda la Haram ya Hadhrat Abbas (AS) kwenye Maonyesho ya 32 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran.
Habari ID: 3480359 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/12
IQNA – Kongamano la Kimataifa la "Arbaeen na Utamaduni wa Muqawama" lilianza mjini Kerman, Iran, Jumanne.
Habari ID: 3480203 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/12
IQNA – Afisa mmoja wa Iran amesema kuwa mjumuiko na matembezi ya Arbaeen, yanayofanyika kila mwaka huko Karbala, yanatoa ujumbe wa mwangaza na ni “jibu la kivitendo” katika kukabiliana na chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia).
Habari ID: 3480056 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/15
Arbaeen
IQNA - Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amesema kuwa safari ya Arbaeen ya mamllioni ya ni ishara ya umoja kati ya mataifa na dini.
Habari ID: 3479562 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/08
Arbaeen 1446
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa shukurani zake kwa wenye mawkib na taifa la kubwa la Iraq katika kipindi cha kumbukumbu ya Arbaeen ya Imam Hussein (AS).
Habari ID: 3479419 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/11
Arbaeen
IQNA - Wafanyaziara wawili wa Iran walianza mradi mwaka huu wa kuandika aya za Qur'ani Tukufu katika safari yao ya siku 72 ya Arbaeen kutoka Mashhad, Iran hadi Karbala, Iraq.
Habari ID: 3479396 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/07
Shughuli za Qur'ani
IQNA – Idara ya Mfawidhi wa Haram Takatifu ya Hadhrat Abbas (AS) huko Karbala, Iraq iliandaa programu mbalimbali za Qur’ani kwa wafanyaziara wa kike wakati wa matembezi ya Arbaeen mwaka huu.
Habari ID: 3479388 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/06