Arbaeen 1446
IQNA - Rais Masoud Pezeshkian wa Iran aliipongeza serikali ya Iraq kwa uratibu na ushirikiano na Jamhuri ya Kiislamu ili kuimarisha huduma zinazotolewa kwa wafanyaziara wa Arbaeen.
Habari ID: 3479226 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/04
Arbaeen 1446
IQNA - Matembezi ya kila mwaka ya Arbaeen ni fursa ya kueneza utamaduni wa kulinda mazingira.
Habari ID: 3479221 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/03
Arbaeen 1446
IQNA - Jumla ya mawkib 3,500 za Iran zitatayarishwa kuhudumia wafanyaziara takribani milioni tano katika matembezi ya mwaka huu ya Arbaeen (Arobaini au Arba'in).
Habari ID: 3479175 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/23
IQNA - Afisa mmoja anasema kauli mbiu ya maandamano ya mwaka huu ya Arbaien ilichukuliwa kwa kuzingatia ukandamizaji wa kikatili unaoendelea wa Israel dhidi ya watu wa Palestina.
Habari ID: 3479003 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/23
Arbaeen
IQNA - Balozi wa Iran nchini Iraq Mohammad Kazem Al Sadeq amesema kuimarika kila mwaka mjumuiko na matembezi ya Arbaeen kama mfano wa utamaduni adhimu wa Kiislamu.
Habari ID: 3478699 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/19
Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyoswaliwa hapa Tehran hii leo amesema matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein (AS) ni zoezi la kimaanawi la aina yake na lisilo na mfano.
Habari ID: 3477604 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/15
Arbaeen 1445
KARBALA (IQNA) – Watoto kadhaa wa Kiislamu kutoka nchi mbalimbali wanaonyesha ujuzi wao wa kusoma Qur'ani Tukufu wakiwa wanashiriki katika maandamano ya mwaka huu ya Arbaeen.
Habari ID: 3477550 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/05
Arbaeen 1435
TEHRAN (IQNA) – Mtazamo wa muono wa mbali wenye kuainisha mwelekeo kwa safari ya kidini au Ziara ya Arabeen ni muhimu sana.
Habari ID: 3477537 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/02
Msafara wa Qur'ani wa Noor ulifanya mikutano mingi ya qiraa ya Qur'ani Tukufu kwenye njia (Masir)ya kutembea ya Arbaeen 1444 kutoka Najaf hadi Karbala.
Habari ID: 3477528 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/31
Arbaeen 1435
TEHRAN (IQNA) – Ujumbe wa Arbaeen ni kwamba lazima tujitahidi katika njia ya haki na kuhuisha ukweli katika hali zote.
Habari ID: 3477523 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/30
Arbaeen 1445
KARBALA (IQNA) – Kongamano la kwanza la wanaharakati katika uwanja wa Elimu ya Kiislamu litafanyika katika mji mtakatifu wa Karbala wakati wa msimu wa Arabeen.
Habari ID: 3477499 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/26
Arbaeen 1445
TEHRAN (IQNA)- Zaidi ya waandishi wa habari 600 kutoka nchi mbalimbali wataangazia matukio yanayohusiana na matembezi ya kila mwaka ya Arbaeen nchini Iraq.
Habari ID: 3477484 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/24
Arbaeen 1445
BAGHDAD (IQNA) – Wasimamizi wa Haram Takatifu Imam Ali (AS) huko Najaf na Hadhrat Abbas (AS) huko Karbala, Iraq wametangaza mipango ya kuwahudumia wanaozuru maeneo mawili matakatifu wakati wa msimu wa Arbaeen.
Habari ID: 3477481 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/22
Arabeen 1445
TEHRAN (IQNA) – Mamilioni ya watu kutoka duniani kote wanaelekea katika tukio la kila mwaka la Arbaeen, ambalo linaweza kuongeza ufahamu wa kimataifa wa madhehebu ya Kiislamu ya Shia kama vyombo vya habari vya kawaida vitaamua kufanya hivyo.
Habari ID: 3477468 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/20
Harakati ya Imam Hussein (AS)
KARBALA (IQNA) – Ziara ya kidini ya kila mwaka ya Arbaeen ambayo ni safari muhimu ya kidini ya Waislamu wa madhehebu ya Shia na wale wote wanaoguswa na harakati adhimu ya Imam Hussein (AS), imeanza kutoka eneo la kusini mwa Iraq.
Habari ID: 3477423 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/12
Arbaeen ya Imam Hussein AS
TEHRAN (IQNA) – Washindi wa toleo la 8 la Tuzo la Kimataifa la Arbaeen walitangazwa na kutunukiwa katika sherehe hapa Tehran siku ya Jumatatu.
Habari ID: 3476523 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/06
Arbaeen ya Imam Hussein AS
TEHRAN (IQNA) -Waislamu ya madhehebu ya Shia Tanzania, visiwani Zanzibar, Nigeria na Niger wameshiriki katika marasimu, matembezi na vikao vya kuadhimisha Arbaeen (Arubaini) ya Imam Hussein (AS).
Habari ID: 3475801 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/18
Matembezi ya Arbaeen
TEHRAN (IQNA) – Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa ushiriki wa wafanyaziara wa Kiislamu wapatao milioni 20 katika matembezi ya Arbaeen nchini Iraq mwaka huu ni muujiza.
Habari ID: 3475799 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/17
Matembezi ya Arbaeen
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameitaja Arbaeen (Arubaini) ya Imam Hussein AS kuwa ni muujiza wa Mwenyezi Mungu na moja ya madhihirisho na vielelezo vya umoja wa Waislamu na akasisitiza kuwa: Ashura ingali hai na itaendelea kuwa hai.
Habari ID: 3475798 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/17
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amelitaja tukio la kimiujiza la maandamano na matembezi ya Arbaeen (Arubaini) ya Imam Hussein AS kuwa ni ishara ya irada ya Mwenyezi Mungu ya kunyanyua juu bendera ya Uislamu ya Ahlul Bayt-Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yao-.
Habari ID: 3475797 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/17