TEHRAN (IQNA)- Shirika moja la kuetea haki za binadamu limesema oparesheni ya hivi karibuni ya utawala haramu wa Israel ya kubomoa nyumba za Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan ni 'maangamizi ya kimbari'.
Habari ID: 3473335 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/06