Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imetoa taarifa ikilaani uhalifu unaoendelea kufanywa na jeshi la utawala haramu wa Israel wa kubomoa nyumba na taasisi za Wapalestina katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3473346 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/10
Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel ameagiza kubomolewa nyumba mpya 400 za raia wa Palestina wa eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu na utawala huo.
Habari ID: 2822419 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/02/08